The Story Book:  Mji wa Tanzania Uliokuwa Mji Mzuri Zaidi Duniani (Historia ya KILWA)

The Story Book: Mji wa Tanzania Uliokuwa Mji Mzuri Zaidi Duniani (Historia ya KILWA)

Wasafi Media

2 года назад

423,915 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@bakarisaidi3022
@bakarisaidi3022 - 11.11.2023 05:51

Those Persians and Arabs were good Architecs.

Ответить
@GeraldNyamaiswe
@GeraldNyamaiswe - 15.11.2023 10:17

Lugha yetu ni nzuri sana,ujue hata wewe ukienda kwao watasema kwa Lugha yao!Nami namsifu sana huyu Bwana kwa kuipenda hii Lugha nzuri kabisa,tuachane na kuongeza ubora na kupenda Lugha za wenzetu;hiyo ni aina ya UTUMWA.Kongole muongozaji.

Ответить
@user-ts3np6kh7f
@user-ts3np6kh7f - 24.11.2023 14:30

Whats the point if waafrica wenzetu walitawaliwa na kuuzwa utumwani from there. That is not our pride at all

Ответить
@nirinsukavalli1960
@nirinsukavalli1960 - 27.11.2023 19:10

Nice video clip.

Ответить
@asaadboy
@asaadboy - 15.12.2023 19:19

Kwanza kabisa napenda kukupongeza sana kwa maelezo yako mazuri yanayoeleweka kirasi. Nchi hii yetu ina mengi yaliyofichika kwasababu mbalimbali. Nakuomba tukiwa hukohuko wilayani Kilwa tupo historia ya miji kama kilwa kivinje na songa mnara na kwingine. Kwa mara nyingine nakupongeza sana.

Ответить
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf - 01.01.2024 02:40

Wewe mpumbavu sema mji ilikufa baada ya wakiristo WA kireno kuvuja na kuharibu

Ответить
@Dennis_Okelo
@Dennis_Okelo - 01.01.2024 18:44

Waafrika twapenda kusingizia mizimu bure

Ответить
@ItrahTV
@ItrahTV - 14.01.2024 14:33

Lakini, maelezo yake si sahihi!

Ответить
@rashidi-ii8od
@rashidi-ii8od - 25.01.2024 15:01

Kwanini zisichukuliwe hatua za kisheria kuwaruhusu watu au raia wa nchini ili kwenda kuishi huko kirwa nimeapakubali kweli

Ответить
@rashidi-ii8od
@rashidi-ii8od - 25.01.2024 15:16

Kwanini usifufuliwe tena mjihuo??

Ответить
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 - 30.01.2024 10:03

Huko Ulaya wanaamini bado Wafrica ni kama manyani, Wabantu hawana hisyoria yao wenyewe, ndio maana wamekuja kututawala ili watustarabishe. Wazungu wanaandika historia ya kujisifu wenye na kudharau historia ya nchi za kiafrika. Kitu kimoja Professor amekisahau kukieleza ni sababu gani iliyopelekea
Mji wa Kilwa kufa.

Ответить
@user-jm7qj6kx8c
@user-jm7qj6kx8c - 19.02.2024 06:31

Sasa kwanini serikali imeutelekeza huu mji kwanini wasiutengeneze upya

Ответить
@AyoubAllyMatogoro-sn6ck
@AyoubAllyMatogoro-sn6ck - 28.02.2024 21:23

Ukweli Utabakia Ukweli Tu! Huyu Msheeleshaji Anapindisha Historia Mreno Amekuja Hapo Mji Umeshajengwa Na Wanaela Yao Ya Dhaabu Na Mashine Ya Kutengenezea Hela! Hata Hilo Jengo Analosema Kumuelekeza Mtangazaji Kwamba Jengo Hilo limejengwa Na Mreno Ni Muhongo Hinavyoelekea Historia Haijui Au Amefaamishwa Tofauti! Jengo Hilo limejengwa Na Waarabu Kama Gereza Sio Mreno Mimi Ni Mzaliwa Wa Lindi Wilaya Ya Kilwa Acha Kutuongopea Hata Hiyo Ngome Kongwe Ya Zanzibar Haikujengwa Na Mreno! Kilwa Kisiwani Kulikuwa Na Misikiti Tisini Na Tisa (99) Na Kulikuwa Akuna Kanisa Hapo Na Mpaka Leo Akuna Kanisa Hapo Kisiwani! Mbona Usemi Mashekh Waliyotoka Hapo Na Tumbatu Kwenda Maka Kukutana Na Mtume Muhammad (S.A.W) Hauizungumzi? Au Mbona Usemi Ikulu Zilikuwa Mbili Moja Hapo Kilwa Kisiwani Na Moja Tumbatu? Ikulu Kubwa Hilikuwa Kilwa Kisiwani Na Ikulu Ndogo Tumbatu Mbona Uizungumzii? Unapindisha Historia Tu! Serikali Hiyangalie Vijana Wanaowapa Kazi Kuizungumzia Historia Ya Hapo Vijana Wenyeji Wazawa Wapo Hapo Na Wazee Wanaoijua Historia Ya Hapo Wapo! Muwe Mnaangalia!

Ответить
@AllyHaydary-fh5vm
@AllyHaydary-fh5vm - 03.03.2024 22:39

Jamal apa umefanya la mana kutukumbusha historia yetu kak salut kwako, nisaidie kit kimoja kaka kama kuna uwezekano ongea hata na waigizaji ili tupate movie ya historia yet ili wat waijue

Ответить
@user-pp4ex2cm6d
@user-pp4ex2cm6d - 05.03.2024 19:56

Uwongo mtupu

Ответить
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 - 14.03.2024 08:44

Wenzetu wa ulaya vitu kama hivi huvikuza na dunia nzima hufika na kujizolea kodi kubwa sisi waafrica tupo nyuma sana

Ответить
@user-kj1yx7ut5y
@user-kj1yx7ut5y - 18.03.2024 02:42

Cha kushangaza kwenye vitabu vya history shuleni wa Tanzania hatusomeshi hivi vitu badala yake wanatusomesha unyani na historia wanatuandalia wazungu

Ответить
@_Ali001_
@_Ali001_ - 19.03.2024 01:05

Wapersia si waarabu ni watu tofauti. Wapersia ni Indo-Europeans na Waarabu ni Semites.

Ответить
@amadouraha5562
@amadouraha5562 - 19.03.2024 11:41

Warabu kutoka persia jamani hakuna kituka hiko kuna warabu alafu kunawapersians lakini wote walikua waislam

Ответить
@user-gu7kg3vt3w
@user-gu7kg3vt3w - 21.03.2024 16:54

Asante kwa historia ya kilwa

Ответить
@TislamMarijani
@TislamMarijani - 08.04.2024 14:59

Naomba kujua nauli beigani hadi kufikia huko?

Ответить
@RamjaaneKing
@RamjaaneKing - 09.04.2024 15:41

Basi mkifika misikitini mvue viatu Maana
Miskiti yote ya Mungu na huwabudiwa umo na utaratibu Ni kuvua viatu

Ответить
@yassernoah8984
@yassernoah8984 - 11.04.2024 06:08

Hey jamani how can I travel to the past 😢plzz I'm craving for it nahisi uwepo wangu enzi hizo na nipo 2024 😢😮

Ответить
@ashahassansaid1628
@ashahassansaid1628 - 20.04.2024 20:49

Iran sio waarabu

Ответить
@mohamedally1594
@mohamedally1594 - 02.05.2024 07:21

Sehemu nzuri sana kutembelea 👏 👏 👏

Ответить
@mayassahmtumweni
@mayassahmtumweni - 06.05.2024 13:19

kilwa ni evidence ya early swahili civilization yaani ustaarabu wa mswahili najivunia kuwa miongoni mwa vitukuu wa dola ya kilwa ❤❤

Ответить
@thulanimashaba8491
@thulanimashaba8491 - 02.06.2024 14:08

Historia nzuri

Ответить
@RamadhaniRamadhani-yd4hq
@RamadhaniRamadhani-yd4hq - 04.06.2024 10:11

Huyu baba ni msomi sana

Ответить
@StewadKizenganya-sk6sg
@StewadKizenganya-sk6sg - 09.06.2024 09:47

Acha uzushi ,mji huo huwezi kuutaam mpaka uadisiwe na waislamu

Ответить
@user-mw9qh7to3y
@user-mw9qh7to3y - 12.06.2024 16:12

Jaman naombeni bax hata like 5 tu

Ответить
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l - 14.06.2024 19:45

Tanzania inasiri kubwa

Ответить
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 - 17.06.2024 09:30

wazungu hasa wareno na wajerumani walivyoingia ktk miji ya kiafrika walifanya UFISADI mkubwa mno,hasa ile miji waliyopata wenyeji ni WAISLAM!!

Ответить
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 - 17.06.2024 09:32

Inaonekana WAARABU hakupora ardhi za wenyeji ila walilipa dhamani na maridhiano,tofauti na MAJAMBAZI waliotoka ULAYA!!

Ответить
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 - 17.06.2024 09:37

mbiona ktk umeogopa historia ya kina nani walioungamiza mji wa kilwa?
warreno ndio walioungamiza mji wa kilwa kwa chuki za za kuwakuta wenyeji ni WAISLAM!!

Ответить
@TediMussa
@TediMussa - 19.06.2024 09:05

Mi naomba Utuleteehistoria ya wayaturu

Ответить
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 - 25.06.2024 10:17

I BET SOLOMON TAME IS IN KILWA JUST MY MIND😇🥲

Ответить
@user-dk7ss3xq4f
@user-dk7ss3xq4f - 29.06.2024 14:19

Asante sana akika wewe n professor

Ответить
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 - 01.07.2024 10:40

Kwanini mnaingia msikitini na viatu😡

Ответить
@FahdiSultan
@FahdiSultan - 10.07.2024 22:10

Tatizo kubwa ilikua kwa Siasa za missionaries

Wao hawakupenda kuona Athari Yoyote ya Muarabu mana walijua fika inasambaza Dini ya Kiislam hivo basi ikawa sababu ya kusahaulika miji yote walio ishi Waarabu.

Swala kubwa udini tu si vinginevyo

Ответить
@LeonardSava-rz8ik
@LeonardSava-rz8ik - 10.07.2024 22:18

Sijai pata like ata moja

Ответить
@bonifacekangentu
@bonifacekangentu - 20.07.2024 12:59

Bana imgn anapewa binti bana

Ответить
@Rozareeobedi
@Rozareeobedi - 24.07.2024 20:02

😂😂😂😂 yani babu akuwaza malambili au malatatu akahamuwa kumpa nanyongezo ya binti

Ответить
@GWIDJIQShabaniGWIDJIQSHABANI
@GWIDJIQShabaniGWIDJIQSHABANI - 24.07.2024 22:06

BEST HISTORY 👏👏

Ответить
@NashyyMc
@NashyyMc - 27.08.2024 09:58

🔥🔥🔥🔥🔥

Ответить
@user-qs6bw3yg1v
@user-qs6bw3yg1v - 01.09.2024 14:13

Natamani.kuiyona..kilwa..Nani.atani.tembeza.nimm
Df.mombasa

Ответить
@HemedLwambo
@HemedLwambo - 02.09.2024 19:40

Babu yetu akatoa kisiwa😂

Ответить
@AlbertMolina-z3s
@AlbertMolina-z3s - 03.09.2024 08:55

Lopez Kenneth Hall Michael Williams Margaret

Ответить
@AlbertMolina-z3s
@AlbertMolina-z3s - 06.09.2024 23:04

Gonzalez Anthony Perez William Johnson Jeffrey

Ответить
@diegomnus1991
@diegomnus1991 - 12.09.2024 03:01

Tunaomba mubadilishe settings maana kuna watu tunapenda kudownload

Ответить
@AlbertMolina-z3s
@AlbertMolina-z3s - 12.09.2024 11:24

Martin Elizabeth Young Jennifer Rodriguez Sandra

Ответить