Комментарии:
Huyu Dajjal ni hii technology iloingia duniani imepotosha wengi na binadamu wamekuwa watumwa wa hiyo technology
ОтветитьAsalamu aleykum mtu asie mwisilamu akifariki waweza kumtolea dua.
ОтветитьMasha ALLAH
ОтветитьMashallah Allah akuifadhi sheikh wetu minakupenda kwa ajili ya Allah S.W.T
ОтветитьMwenyezi Mungu atuepushe na fitna za Masihi Dajjal. Allahuma Ameen
ОтветитьAllaah utuepushe na hyo maisha dajjal
ОтветитьMasha Allah tabarakallah jazakumllahu khayra shekh wetu OTHMAN... uhibukii fiy llah kathiyra ❣️❣️❣️
ОтветитьAllah a2linde na shari za wabaya wote InshaAllah
ОтветитьNani family yake Dajjal
ОтветитьMwenyezi mungu atuepushe na fitina za Dajjali inshaAllah amini rabinaalamin
ОтветитьAllahu akbar Allahuakbar Allahuakbar
ОтветитьTechnologia inaandaa ujio wake atakapokuja watu Wengi watakuwa wamepotea na watamfuata ispokuwa wale ambao Mungu atawajaalia iimani thabiti ktk mioyo yao Naomba Mungu anijaalie iimani thabiti.
ОтветитьMasha Allah
ОтветитьAllah atuepushe na adhabu ya masihi Dajjal
ОтветитьMashallah tabarakallah amazing dawah.
ОтветитьAllah atuepushe na fitna ya masih dajjal jamii Islam
ОтветитьSubhanallah yaraby tupe mwisho mwema na utuepushee na shari za dunia hii
ОтветитьSubhanAllah, Allah atuepushe na visanga na uongo wa Masihi Dajjal. MashALLAH Sheikh mchanga sana hapa. Allah amjalie umri mrefu. ❣❤❤
ОтветитьMola atuepushe na riyaa(show off)
ОтветитьJAZAKA ALLAH KHAIRA SHEKH OTHMAN MAALIMU ALLAH AKUJAALIE UMRI MREFU SHEKH
Ответитьya ALLAH tujalia tuwe ni wenye kukufuata wewe tu ya Rabbi
ОтветитьMashallah
ОтветитьNalia kwa mahaba ya mtume wetu SAW ❤SAW❤SAW❤SAW❤😢😢😢😢😢😢😢
ОтветитьM.mungu tujaalie Iman kubwa juu yako 🙏🏼
ОтветитьMola atuepushe na adhabu za Masih dajjal
ОтветитьMtume alikuwa anamzungumzia masihi yupi Masihi ni mmoja tu ni yesu atakuwaje na fitina na kama sio kuwa na hofu kwa ajili ya hukumu yenu
ОтветитьMtume anaongeaje hadidhi anapotoa ujumbe kwa waumini wake maneno ya mtume yanageukaje kuwa hadidhi na anamtaja masihi sababu mtume anajua ndio hukumu yake imefika na wafuasi wake uma wa waislamu
ОтветитьKuludi kwa yesu duniani, huyo yesu kwa waisramu ndiyo dajjal na mtume anaogopa mbaya mbovu
ОтветитьJe huyo atazaliwa na binaadamu au huyo .?atakuwa tayali ameumbwa yupo?kama yupo yupo wapi kwasasa hivi naitaji chimboko lake nilijuwe kama ibilis ni kitoto chakijini kilichochukuliwa na malaika kulelewa je yeye masiijadali katokea wapi?
ОтветитьMungu atulinde na masih dajjar inshallah
ОтветитьSheikh hizo ni hadithi za abunuwasi ni kweli Massiah Dajjal habari zake zipo lkn zilipozungumzwa na Mtume zilielezwa kwa lugha ya ishara ambazo zikitafsiriwa tunaeza kuona kwa jicho la pili vyenginevyo endelea kuwambia watu wamsubiri akinyesha mvua na kufufua watu.
ОтветитьMwenyezi mungu atuepushe na msihi dajal
ОтветитьNdio maana mm napenda sana dini yangu ya wuislamu alhamdulillah❤❤❤❤❤❤🎉
Ответитьmawaidha mazuri
ОтветитьMansaallah
Ответить😢😢😢aki umenifungua macho ya ndani nilikuwa sijui kuna mtu kama huyu atakuja masihi dajali,,subhanalla mimi sijui ata hiyo dua ya kujikinga😢😢😢😢 inauma sheikh sijui nitaijuaje
Ответитьبراك الله ولك
Ответить