Комментарии:
2025 May enjoy as we hike in Jesus Christ name
ОтветитьSoyez bénis depuis la république démocratique du Congo 🇨🇩
ОтветитьKabisa papa
ОтветитьLove this song Mungu nibarik nizid kupunguza Dhabi zangu kupitia nyimbo hii nabarikiwa
ОтветитьJe ne comprends pas bien mais quand j'attends vos chansons 😢😢😢 que Dieu vous bénisse
Ответить🎉🎉🎉🎉🎉 mbarkiwe sana
ОтветитьAmen ❤️ 🙏 ❤️ 🙏 from Uganda 🇺🇬 I love Kenyan songs
ОтветитьOur Father
Our Father, Who art in Heaven, hallowed be Thy name; Thy kingdom come; Thy will be done on earth as it is in Heaven. Give us this day our daily bread; and forgive us our trespasses, as we forgive those who trespass against us; and lead us not into temptation, but deliver us from evil, Amen.
Asanteni sana kwa huu wimbo nausikiliza kila siku
ОтветитьI am from Zambia 🇿🇲 I can't get a single word from the song but the Holly spirit through Christ Jesus interpret it for me. And dance like I do speak the language Hallelujah.
ОтветитьHuu wimbo ulifanya nikawasamehe walio nikosea ,na pia nikapunguza ,kupiga watu risasi forgive me lord
Ответитьbest of the best
ОтветитьGod you are great
ОтветитьAmen amen
ОтветитьMy favorite ♥️♥️
ОтветитьHiii wimbo kwanza na earphones 🎧 inanimaliza ,, clean sound
ОтветитьThose of 2024 and this year gather here with likes 🙏🙏
ОтветитьTuiti kane kama mutu anajuwa kitu muitike mimi nina waitika kwa njimbo zenu mimi mwenye we niko congolais 🇨🇩 nina waitika mungu awa bariki watu wa mungu
ОтветитьNimeokoka nafurahi ndabhakunda chane from Tanzania ❤❤❤
ОтветитьNapenda sana wimbo ikienda kanisa Sunday naweka hii wimbo
ОтветитьWow thanks you Jesus Christ amen
Ответить❤
ОтветитьHakika, nimeokoka nafurahi
ОтветитьVery very blessed by this song. I play it like 10 times a day. Much love from Washington, US, originally from Kenya. 🇰🇪 🇺🇸
Ответить2025, God remember me
ОтветитьHallelujah❤
ОтветитьWhat a feeling❤❤❤❤❤
ОтветитьWho still watching this song in 2025?
ОтветитьI didn't know who sang this song Leo nimeifkia,who else can't get ride of this song like me, blessings👏👏🎉
ОтветитьUwakika mungu anaweza kutuweka huru mbarikiwe sana mzidi kumtumkia yeye siku zote.
ОтветитьAmen 🙌❤
ОтветитьAnother reminder that our God is so simple, no complications. A simple song that purely blesses the spirit. When you know God, life becomes easy and peaceful. The world is full of fears and anxiety. I choose God always, no turning back🙏👍. God bless you'all.
Ответить😭😭😭😭😭🙌🙌🙌
ОтветитьHata sasa Mungu anajipatia utukufu tungo nzuri sana ukisikiliza kwa makini utagundua Mungu yupo ndani ya mioyo yao Mungu wabariki wote wanasikiliza wimbo huu
ОтветитьWho is here 2025😊😊
Ответить2025 May
ОтветитьAmen Amen
ОтветитьIts always a joy seeing young people praise the Lord like this
ОтветитьLike this who is still watching this song in 2025
ОтветитьAmen
ОтветитьKl mung zambi zangu zimetoka❤❤❤❤❤❤❤❤
Ответить2025 I love the song
ОтветитьIi song nliijua na msichana wangu kufunzwa shule somo la music....thanks baby joy and your teacher
ОтветитьWho is here on 26th May 2025
ОтветитьHapo sawa
ОтветитьMina furahi sana
ОтветитьMimi hapa nairudia mara kumi
ОтветитьAmeniweka huru kweli
Naimba sasa: Haleluya!
Kwa msalaba nimepata
Kutoka katika utumwa
Refrão:
Nimeokoka, nafurahi!
Na dhambi zangu zimetoka
Nataka kumtumikia
Mwokozi wangu siku zote
Zamani nilifungwa sana
Kwa minyororo ya shetani
Nikamwendea Bwana Yesu
Akaniweka huru kweli
Refrão
Neema kubwa nilipata
Kuacha njia ya mauti
Na nguvu ya wokovu huo
Yanichukua siku zote
Refrão
Na siku moja nitafika
Mbinguni kwake Mungu wangu
Milele nitamhimidi
Na kumwimbia kwa shukrani