Комментарии:
Leo metufurahisha.sana❤❤❤❤❤❤😊
ОтветитьTwasubily partv2 twizy
ОтветитьTwizy umekuaje tena, mbn kam unamtaka tena my
ОтветитьOngera sana Mai,nakupenda🎉🎉🎉
ОтветитьHongeren imeisha vizur, sas twizy iwe fupi tu km hii, tunaisubir kwa ham
Ответить❤❤❤🎉🎉🎉
ОтветитьMaskini nasra usiseme ivyo
ОтветитьMy nakupenda pamoja na nasra
ОтветитьMaskini nasra umenitoa machozi
ОтветитьNasra umeniliza sana nimelia mpaka machozi ya damu pole sana dadangu😢😢😢😢😢
ОтветитьHaka kamove hakajaboa walahi hongelen sn sn nawap pongez zenu 💯💯💯💯💯
Ответитьkwahio ina season two
ОтветитьMbn mama nasra sio huyo jamn nmatyuchanganya
ОтветитьFire 🔥 much love team twizy ❤❤❤❤❤❤❤❤❤from Kenya nawatch nkiwq Saudi.....like zinawasaidia nn
ОтветитьMunamalizambiyo nilikuwanataradjiya episode mipaka 50
ОтветитьFire 🔥 much love team twizy ❤❤❤❤❤❤❤❤❤from Kenya nawatch nkiwq Saudi.....like zinawasaidia nn
ОтветитьKimeumbuka 😂😂Congratulations ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
ОтветитьIsikwish jamani
ОтветитьKazi nzuri congratulations.Mai uko vizuri na uko mrembo sana nakupenda paka basi.
ОтветитьKazi nzuri sana
ОтветитьThank you for that film, I have watching from the start to end, from Kampala Uganda.
ОтветитьSasa hiki kipindi kimeisha au Bado chaendelea
Ответитьnashukuru sana Kwa hiyi part30
ОтветитьMmeniliza sn kiukwl 😭
ОтветитьNawapenda sna jmn kiukwel mna2pa elim maisha yet love 💕 us so much
Ответитьhatimaye tumemaliza tukutane kwenye binti muuza ndizi
ОтветитьAsante sn hongereni sn chukuweni mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
ОтветитьHiiii move imepoa kwakua hawa jamaa wanachiti sana sasa mama wamwazo wamempeleka wapi kwakifupi mmetupiga hapo
ОтветитьJamani we kaka unajua bac tu🎉🎉🎉🎉
ОтветитьTwizy umetisha sana🎉🎉🎉
Ответить🎉🎉🎉🎉
ОтветитьUyu mam kwanza amekomaa uso yan hafai kbsa kweny hii move
ОтветитьJaman nasra alikufa toeni season 2
ОтветитьSeason 2 mutuletee tafadhali
ОтветитьHiki kipande kimeniliza jaman twizy
ОтветитьZambi ni mbaya sana 😢
ОтветитьInauwa
ОтветитьYani uyu Maman hapendezi Kabisa
ОтветитьMahi,,,the masernary
ОтветитьKazlnznll❤❤❤
ОтветитьWachawi wameumbuka leo toa hao twity
ОтветитьKukomaa nimekomaa kweli ,Mbaka nikienda Toilet nadondosha mawe, is ok Naima saleh!
ОтветитьJacquessolo , naweza nisipendeze kwenye macho yako , kwengine nikapendeza, hata wewe si zani kama watu woote kwenye hii Dunia wanakupenda, Ukipendwa na Mungu inatosha,
ОтветитьNajua wooote maopiga debe Mama wa mwanzo wamwanzo, kama si ndugu zake basi jamaa zake, watanzania ndio maana hatuendelei, wanake wenyewe kwa wenyewe hatupendani, Acheni majungu, Ridhiki Anatoa Mungu
ОтветитьJamn mnachelewesha muvi jmn
Ответить🎉🎉🎉🎉🎉😢😢
ОтветитьJamani jamani timu Twizy mnajua kumaliza ao basi tu🥰🥰🥰
ОтветитьMama ameumbuka na mwanawe
Ответить❤❤❤❤❤
Ответить