Комментарии:
Congolese style, great 😃👍
Ответить❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
ОтветитьWhat happened to this handsome man. He used to be above Diamond Platnumz
Ответить2025 mpo😂❤
Ответить❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😮😮😊
ОтветитьKila mwaka niko hapa
Ответить2024
ОтветитьFrom 31october tujuwane Kwa like ndarudiyaga kuhesabia🔥💪
ОтветитьHlo November 2024
ОтветитьBest tbt
ОтветитьWho's is here 2024
ОтветитьNinakupenda kijana
Ответить2024. King Kiba 254
Ответить2024❤
Ответить37 million views never getting old
ОтветитьKing Kiba 2024❤
ОтветитьNovember 2024🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
ОтветитьEu amo essa música ❤ escutando de Moçambique 🇲🇿
ОтветитьNovember 6th 2024 haloooo❤❤❤❤
ОтветитьKing kiba is the best
Ответить🇹🇿🇧🇮🇨🇩🇿🇼🇺🇬🏴🏴🏴🇿🇲🇾🇹🇾🇪🇻🇨🇻🇪🇻🇬🇻🇮🇻🇳🇻🇺🇼🇫🇼🇸🇽🇰🇻🇦🇺🇸
ОтветитьWho is here 2024
ОтветитьWHO IS HERE 2024 😢
ОтветитьWho is here in 2024
ОтветитьMfalmeee kuja doha🇶🇦🇶🇦🇶🇦
ОтветитьMY BEST SONG EVER...
ОтветитьMan Walter aliupiga mwingi aisee
ОтветитьWho is still listening to this song in 2024 love from Rwanda
ОтветитьNaeza kuwa director mzuri sana wa hii video ya hii wimbo, video nzuri haija relate na script ya story ya music yenuewe
ОтветитьKipind hicho sijui hata anamaanisha nini nimwendo wa beat 2 na machoz yananilenga
ОтветитьI am big fanz from rdf soger of Rwanda 🇷🇼
ОтветитьLetta flavour
ОтветитьNow now❤❤❤❤❤
Ответить2024 still my favourite song😂🎉
ОтветитьName one swhili singer with better voice than Ali kiba one love from somalia🇸🇴🇸🇴
ОтветитьKama upo November 2024 like tujiesabu
ОтветитьAnyone here with me 11/2024?
Ответить2024🎉🎉
Ответитьhere in 2024
ОтветитьMy favorite artist Ali kibaa much love ❤❤❤ from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
ОтветитьOverview
Listen
Lyrics
Artists
Mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babio mamio wote wanakulilia
Mtoto peke yako nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babio mamio wote wanakulilia
Ndani ya Dar es Salaame ulikuja bure
Tena kimwana kimwana hujui Kuchuna
Na zile lawama za wale waliokuzoweza
Ulikuja jana na leo tofauti sana
Tena Bora yule wa Jana, wa leo tofauti sana
Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma
Tena Bora yule wa Jana, wa Jana leo wa Jana
Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma
Mbona unawatesa sana
Omamee omamee omamee yaya mamee
Omamee omamee omamee yaya mamee
Mbona unawatesa sana
Omamee omamee omamee yaya mamee
Omamee omamee omamee yaya mamee
Ukaanza kulewa madawa kuvuta kwa sana
Ndani ya Dar es Salaam mambo mataam Hayakukuisha
We bado mtoto kwa mama hujayajua mengi
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
Amesema sana mama dunia tambara bovu
Kuna asali na shubiri, ujana giza na nuru
We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana
Ulichokifuata huku pata, umekosa ulivyoacha
Kwa baba yako mwana, na mama yako mwana
Kwa vichache ulivyo vitaka, nivingi ulivyoacha
Mbona unjitesa sana
Omamee omamee omamee yaya mamee
Omamee omamee omamee yaya mamee
Mbona unawatesa sana
Omamee omamee omamee yaya mamee
Omamee omamee omamee yaya mamee
Right, Man Walter
Chiks vallo, combinenga
Pertio loso guitar
Unaleta lawama, wewe unaleta lawama
Unaleta lawama, wewe unaleta lawama
We mwana uwooo
Uchungu wa mwana aujuae mzazii
Siku zote milele
Analiaaa ooh
Kutwa nzima analalama iyee
Obaba mama yakoo
We mwana rudieee
Watafurahi wakikuona
Umerejea salamaa
Omamee omamee omamee yaya mamee
Omamee omamee omamee yaya mamee
Omamee omamee omamee yaya mamee
Omamee omamee omamee yaya mamee
Nakumbuka 2015 alikuwa live uku Machakos people's park, nampeda Sana, the show was lit
Ответить2024 still vibing this
More love from malawi 🇲🇼
❤️🎧😌
ОтветитьBonge la Wimbo hongera katika nyimbo zote huu Wimborne mimi narudiaga mara kumi
ОтветитьUrudie tena huuu Wimbo watu wengi kila mtu acheze kama hao wadada ,Wimbo wakimataifa huu.
ОтветитьMwana nini umekosa rudi 💫💫
ОтветитьBonge moja la sebene mwishonii aliua Sana eneo hiliii
ОтветитьNdakemera san
Ответить2024 November
Ответить