Комментарии:
Polen sana ndugu zanguni Allah atawasaidia wote walioko chini watoke Salama
ОтветитьPole sana ndugu yangu
ОтветитьMungu mwema kaka endelea kumuomba Mungu bila kuchoka
ОтветитьUyu kaka namfaham sana nandoninapo nunuaga suruali kwake inamaana lile jengo ndolililo anguka !?
ОтветитьJaman Allah andeleye kuwalinda waliopo chini nawalio okolewa pia tunawap pole 257
ОтветитьAah,kumbe ulishaona matumaini bana ndo mana ukapata ujasiri wa kupiga selfie
ОтветитьMan are simple creative 😂 daaa
Ответитьsisi hapa Dunia sio wenyeji tunapita hakika mungu ni mwema wakati wote
ОтветитьPoleni sana ndugu zetu mungu ni mwema
ОтветитьBora uzima, mali zinatafutwaaaa
ОтветитьMshukuru sana mwenyezi mungu
ОтветитьMrudie mungu
ОтветитьAisee Mungu ni mmoja tu polen sn
ОтветитьNimekuwa kkoo Jana Daaah inaumiza 😭😭😭
Ответить😢Kwa maombezi ya mama Bikra maria atawasimamia poleni sanaa famili zote mlizopata changamoto hiii poleee sanaa
ОтветитьAnaonekana ni jasiri, mtaratibu, anajielewa, na anafaa kuwa kiongozi, kijana wetu Hassani Mungu azidi kukutunza, na daima usimuache Mungu.
Ответитьpoleni sana tanzania
ОтветитьMungu awasaidie waliobaki watoke salama
ОтветитьPole san kaka
ОтветитьPoleni sana
ОтветитьALLAH AKBAR
ОтветитьHassani uyu uyu
ОтветитьKaka mshukuru Mungu kwa kila jambo unatakiwa kuomba sana
ОтветитьDaaaa pole
ОтветитьIs Not Say Naendelee Kupambana Sawa Tunakubali. Kubwa Kujiunganisha Naibada Kwasababu Kufa Nilazima Kuishi Nibahati.
Ответить😢😢😢
ОтветитьYesu ndie njia , Mungu kawasaidia
ОтветитьArikua sehemu nizr huyo alikua na uhakika atatoka asinge weza kuweka vidole juu badara amsabihi mola wake
ОтветитьPolen sana ndugu zetu watanzania😢Allah wajalie subrh inshaAllah kwa rehm za Allah na baraka yake InshaAllah Allah atawajalia ndugu zetu walio chini watatoka salama inshaAllah
ОтветитьPole sana Allah akulinde kwenye maisha😢😢
ОтветитьSiku zote mungu ni mkuuu❤
ОтветитьMaskin mungu nimwema kwa kweli 😢😢😢😢
ОтветитьYote kwa yote hili jengo hakikuwa imara yani kutokana na hali tunapenda vya rahisirahisi ujenzi dun kikubwa NIISHAURI SERIKALI majengo haya ya ghorofa hasa ya kibiashara yakaguliwe kwa usahihi wakati ujenzi unaendelea mpaka utimilifu wake kama mnavyokagua majengo ya SERIKALI na ya watu binafsi pia myakague kila mara majengo yanaanguka vifaa vya uokozi duni jamani tutapoteza watu kwa staili hii mpaka lini
ОтветитьMungu ibariki tanzania mungu tubariki watanzania tupe upendo huu huuu tupe umoja tupe ushirikiano
ОтветитьMungu mwema ❤❤
Ответитьduuu! polee kaka kamtolee mungu sadaka
ОтветитьPole sana ndg
ОтветитьMungu yupo
ОтветитьSubhana Allah
Alhamdulillah
Allah awazidishie ucha Mungu ndugu zangu
Hongera Hassan ombeni Mungu sana
ОтветитьPole kaka angu ni jambo la kumxhukulu mungu umetoka xalama
ОтветитьAllahu Akbar!
ОтветитьPolen sana ndugu zangu
ОтветитьMwenyezi MUNGU Atuhurumie Atusamehe Dhambi zetu, Atufukishe kwenye Uzima wa Milele... Inatisha
ОтветитьHakika Mungu ni mwema hupaswi kuvunjika moyo
ОтветитьAISEE MUNGU MKUBWA
ОтветитьMungu mwema
Ответитьpole sana kaka,poleni wahanga wote.kama ulivyoanza,mungu atakuonyesha pa kuanzia tena
ОтветитьPole sana mung awasaidie
ОтветитьPole sana Mwananchi!
Ответить