Комментарии:
Mashallah ❤ mungu akusaidie umalize nyumba yako mama inshallah 🤲
Ответить❤❤❤
Ответить❤❤❤❤
ОтветитьMashaallah mungu azidi kukubaliki na familia yako❤
ОтветитьNatamani sana mimi kuwa na kibanda changu hata cha vyumba2 tu nimechoka kweli na maisha ya kupanga mimi
ОтветитьMashallah, hii nyumba ikimaliza itakuwa hatar sana
Ответить❤❤🎉🎉🎉
Ответить👏🎉
ОтветитьCongrats to her ila Sanaa ya bongo ngumu tangu alipoanza kuigiza Bi Star Hadi Leo alistahili zaidi ya hapo.
ОтветитьIvi kumbe unaweza ukaacha kazi fulan ulozoea na baadae ukarudi mambo yakawa sawa tuu BIG LESSON
ОтветитьMashallah
ОтветитьCongratulations
Ответитьuyo muhogo ndie mumewe au
ОтветитьTunaomba hio muvi ya kigodoro jamani ss hatuijui
Ответить🥰🥰🥰😘😘😘😘
ОтветитьUyo anaekunawisha mbona kanuna😂 acha supu yawatu
ОтветитьMashaallah
ОтветитьI wish wasanii wa kisasa wakaiga mfano wako😊
ОтветитьMy dada
Ответить❤❤❤❤love you mum
Ответить🔥
ОтветитьMashaallah mtu kwake
ОтветитьHongera sana na nimejifunza vitu kwa maisha yako
ОтветитьKipaji kikubwa hiki
ОтветитьUyu mama nimemkumbuka kwenye siriz ya hatia kahalufu kama mama mboga mboga
ОтветитьNakupenda sana bi star ❤
ОтветитьHongeraa🥰
Ответитьyan uyu mama nampenda mpak naumw
ОтветитьMashaallah yuko vizuri
Ответить❤❤❤❤❤dada ongera sana kumbe una bonge house
ОтветитьMasha Allah hongera super woman Allah akusimamie🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🌹
ОтветитьBista biga buu
ОтветитьMama Mwazani
ОтветитьMi nakupenda sana
ОтветитьGood job❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
ОтветитьSafi sana dada Hongera bint Ndwangira.
Ответить❤
Ответить❤❤❤🎉🎉
ОтветитьNaomba hilo friji la pespi lirudishwe kiwandani haraka sana
ОтветитьJaman nakupend bule we mama❤❤
Ответить❤❤❤❤
ОтветитьHongera sana mama
ОтветитьKuna usemi alinitamkia siku moja nilicheka sana! Nilimwita "nyumba ndogo" akanijibu;"kwani nyumba ndogo nikilala miguu inatoka nje?" Huwa sisahau kila nikimuona Shamila wangu.
ОтветитьKwenye kombolela mama uliua, napenda ile scene unamkaba yule dada anawapigia kelele usk mmelala ukaamka kumkaba et haya endelea kumotema 😂😂😂😂
ОтветитьMjengo wa kisasa kabisa Yani
ОтветитьAsharudi jua kali kama house help
ОтветитьNapenda xan maigizo yake uyo mama
ОтветитьNimempenda Bure
ОтветитьHongera dada kupambana na WA mama tunaweza
Ответить