Комментарии:
Innalillahi wainna ilaihi raajiun
Allah amrehemu amsamehe makosa yake ampe kauli thabiti amjaalie jannah kuwa makazi yake ya kudumu
Allahuma amiyn
Shekh Abdul kadir anapenda kuchanganyika na watu wa bidaa wwkati hafai kuchanganyika nao kabisa mwisho wa siku utakuwa kama wao tuuh. Unawapendaje watu maadui wa sunnah za mtume muhamadi sala lau aehy
ОтветитьInna lillah wainna illahi rajiun Allah ampe kauli dhabiti Allah amuondele na adhabu kabri
ОтветитьMoja katika alama za Kiyama ni kuondoka elim na kuondoka elimu ni kufa kwa wanachuon ALLAH amrehem na Amsamehe na amkutanishe ni kipenz chtu Muhammad s.a.w
ОтветитьAllah ampe Nuru,,kaburini kwako
ОтветитьALLAH amridhie ALLAH amrehem ALLAH amsamehe ALLAH amtie peponi Yeye na waislam wote
ОтветитьALLAH MSAMEH SHEIKH WETU KWANI HAKIKA SISI NI MASHAHIDI JINSI ALIVYO UTUMIA UMRI WAKE KWA KUFUNDISHA DINI YAKO
Ответитьاللهم اغفر له وارحمه
ОтветитьInnalillah wanna ilahi rajuun poleni
Ответитьinnalilah wa innailah rajiwuna 😢
ОтветитьInnalilai wainna illah rajiun Allah ampe kauli thabiti amiin
ОтветитьAllah amsamehe madhambi yake inshallah
ОтветитьSioni kiongozi wa serikali, huyu alikuwa mwanazuoni mkubwa katika nchi hii, ni aibu kwa serikali kutokupeleka mwakilishi,,,
ОтветитьHvi alikuw no mtu wa sunna au
ОтветитьInnalillah wainna ilayh rajioun😢😢😢
ОтветитьInnalilahi Wainnah ileyhi Rajiun Allah Rahma
ОтветитьInnalillah wainna ilayhi rajiun
ОтветитьMola astawishe kaburi lako inshaallah.
ОтветитьInnalilah wainnailah rajiuun
ОтветитьAlha akupe kauli sabiti aukuepushe na azabu ya kaburi
ОтветитьAllah amraham shehe wetu
ОтветитьInnalillah waina ilayhi rajiun
ОтветитьInnalilah wainaileh rajiun ALLAH Ampunguzie Adhab ya Kabur
Nasi ALLAH atujalie mwisho mwema 🤲 🙏
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة واجعل قبره روضة من رياض الجنة ولا تجعل قبره حفرة من حفر النار يارب العالمين وصلى الله عليه وسلم والحمدلله رب العالمين
ОтветитьInnalilahi wainnailayhi raajiuun ALLAH amsameh makosa yake
ОтветитьInnalillahi wainna illahi rajiun
ОтветитьSheikh Hemeid bin Jumaa bin Hemeid (Al Marhum)
Sheikh Kassim bin Jumaa (Al Marhum)
Sheikh Suleiman Gorogosi (Al Marhum)
Sheikh Suleiman Bin Amran Kilemile (Al Marhum)
Sheikh Muharram Juma Doga (Al Marhum)
Sheikh Twaha Suleiman Bane
Wanazuoni wakubwa wa kiislamu kuwahi kutokea katika nchi hii tuliwaidhika sana kupitia RTD na mawaaidha Yao miaka Ile 1980s-1990s Allah awape Pepo waliotangulia mbele ya Haki na waliohai Allah awape umri mrefu tuzidi kufaidika nao insha'Allah
In shaallah mwenyezi mungu amrehemu Shekh wetu
ОтветитьInalillahi wainailahi rajuun😭Allah ampe kaulithabiti amsamee alipoteleza ampepepo kwahuruma wake. Yarab🤲
ОтветитьMimi ni Mkristo ila Sheikh Muharam Juma Doga nimemsikia siku nyingi sana kupitia Redio Tanzani RTD akitoa mawaidha ya Dini ya Kiislamu
Ответить