Mhudumu wa Mpesa Hannah Waithera auawa Nakuru, familia yalilia haki

Mhudumu wa Mpesa Hannah Waithera auawa Nakuru, familia yalilia haki

KTN News Kenya

1 день назад

16,372 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@jameskarita3735
@jameskarita3735 - 29.05.2025 10:10

Yaani alikufa elfu mia mbili jameni? Yeyote alihushika asiwe na amani mungu tu ndiye ako na uwezo wa kutoa uhai.

Ответить
@tracywaigwe6751
@tracywaigwe6751 - 29.05.2025 09:39

Painful very painful 😢

Ответить
@jacobkambo6619
@jacobkambo6619 - 29.05.2025 09:34

Very pain musilale edeni hawa watu wakule chezi

Ответить
@jacobkambo6619
@jacobkambo6619 - 29.05.2025 09:33

Tafuta muganga hawa watu wajulikane

Ответить
@EveImbusi
@EveImbusi - 29.05.2025 07:44

Ghai😢😢😢😢😢😢😢Mungu uko wapi Mungu uko wapi😢😢😢😢 wanyanganyi mbona wasichukue tu pesa wamuachie uhai Lord why why watu wamegeuka kuwa wanna wanyama .......Eeeeeesh😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

Ответить
@queenfaykarash4127
@queenfaykarash4127 - 29.05.2025 00:16

It's not adding up how boss n makarao wachuguzwe

Ответить
@lucymwai7645
@lucymwai7645 - 28.05.2025 23:26

😭😭😭😭😭

Ответить
@BashirMbongo
@BashirMbongo - 28.05.2025 22:23

250k inafanya mtu kuuliwa jameni binadamu tujali maisha

Ответить
@Funnyvideos111-z9c
@Funnyvideos111-z9c - 28.05.2025 22:10

Khai

Ответить
@arnoldstiff1708
@arnoldstiff1708 - 28.05.2025 21:56

Kijiji cha NAKURU ama ni Jiji??

Ответить
@judykosgei7354
@judykosgei7354 - 28.05.2025 21:56

Sad

Ответить
@GraceNdungu-p8t
@GraceNdungu-p8t - 28.05.2025 21:56

Family ya akina macharia poleni sana

Ответить
@feizul.feisal
@feizul.feisal - 28.05.2025 21:54

Pole kwa Familia😢😢

Ответить
@catherinegitau9053
@catherinegitau9053 - 28.05.2025 21:51

😢😢😢

Ответить
@NdindaElizabeth-zw6zb
@NdindaElizabeth-zw6zb - 28.05.2025 21:25

Ngai mungu, rest in peace 😢

Ответить
@KhadharSamburu99
@KhadharSamburu99 - 28.05.2025 21:22

So sorry to the family 😢😢😢

Ответить
@Actor_bad24IK
@Actor_bad24IK - 28.05.2025 21:12

Kulienda aje

Ответить
@EnosKinyua-ht9pw
@EnosKinyua-ht9pw - 28.05.2025 20:55

Ruthless Generation. May the perpetrators of the heinous act know no peace.

Ответить
@marrieimmaculate
@marrieimmaculate - 28.05.2025 20:52

Woooiiieee 😢😭 😢 😨😓💔

Ответить
@Marthamary3377-nk3uu
@Marthamary3377-nk3uu - 28.05.2025 20:39

Na police walienda kwao pamoja na mwenye M.pesa wakawapinga wazazi wake brother yake na mtoto mdongo na kuwanyanganya pesa zenye walikua nazo pamoja na shopping ya nyumba wakisema eti hio ni plan Yao na waithera apotee na pesa ili wakule
Hao police pamoja na mwenye M.pesa wamelaaniwa kwa kitendo Cha unyama walichowafanyia na kumbe waithera alikua ashatekwa nyara na kuuliwa

Ответить
@alextercisio
@alextercisio - 28.05.2025 20:39

Aki woiye very sad and they harassed her husband saying they have conspired to steal the money

Ответить
@BLoxQTV
@BLoxQTV - 28.05.2025 20:19

So sad indeed 😭😭😭

Ответить
@Shaban-d9h
@Shaban-d9h - 28.05.2025 20:14

200k only surely 😢

Ответить
@ngurekim6278
@ngurekim6278 - 28.05.2025 20:14

Police can follow the CCTV trail. Nowadays, you can try to run but there's nowhere to hide.

Ответить
@leahgithua6728
@leahgithua6728 - 28.05.2025 20:12

Woooie 😢😢😢😢,wangechukua hizo 200k na wamuachie uhai

Ответить
@monicakamau9576
@monicakamau9576 - 28.05.2025 20:07

Coz 200 hundred k unaua. Jamani siungeacha mtoto wawatu. Mungu anakuona na anakuja kulipisha

Ответить
@TrizaOuma-nq8yh
@TrizaOuma-nq8yh - 28.05.2025 20:07

😢😢😢 nawalisema ati ameimba pesa 😢😢

Ответить
@AsDf-x9p
@AsDf-x9p - 28.05.2025 20:06

Woooi,so sad indeed wangemuacha hai wachukue pesa, sorry to the family

Ответить
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen - 28.05.2025 20:00

😢😢😢Rip mrembo pole Sana Familia

Ответить
@bornifacekayo2409
@bornifacekayo2409 - 28.05.2025 19:30

Very painful 😢

Ответить