#boutross #shraplife #6ixviewsii8k
Boutross performs Story Ilianza off his mixtape .
" The story is about how he met with a girl at a party and she stole from him at his house . ''
Video Shot By Kingz Ent
Assistant Director Sobukwe Nonkwe
Connect With Boutross
* Apple Music , Spotify , Deezer -
https://untd.io/r/A3gB9aJinEQ3
Master Link -
https://album.link/i/1496827709
* Boomplay Music -
https://bit.ly/3eB2Hn0
Instagram :
https://www.instagram.com/boutross_munene/
Facebook :
https://www.facebook.com/Boutross-330
Twitter :
https://twitter.com/Boutross_Munene
Executive Produced by Musau Mumo and Boutross Munene .
LYRICS
This (ooh ooh yaah) vile nilipatwa (aye)vile nilipatwa
Yeah yeah yeah yeah
(Ooh yaah)vile nilipatwa (aye)
Yeah yeah yeah
( Chorus )
Story ilianza like this vile nilikutana na Peng(peng) haga ilikuwa legit(legit) jegi zilikuwa zinadance(dance) so ilibidi nimechora(chora) vile chipo atachotwa(chota) kumbe huyu ngeus anachora(chora) vile bouti atatokwa
(Yeah yeah ayee)
Ngeus alikuwa amepagawa(pagawa) ningejua hapa ni tafash(tafash) alispike up the liquor(ooh) hapa bado nikizama(nikizama) kichakani nilisaka(ooh) nikapata nikawinda(winda) mi ata sikuwa rada(sikuwa rada) nilianza tu kuzima (aye)
Shawty ran off with a laptop(laptop) chains na Bluetooth speaker then nikaenda kwa kitchen(kitchen) ata noodles aliiba(maze) Buda ilibidi nimewasha(aaah) nitulie tu nikiwaza(waza)vile huyu ngeus ameshinda(shinda) anajua alimaliza(yeah aye aye) ata nikipiga hiyo mbana(mbana)mteja tu ndio mi naskia(prrprr) ngeus ametambulika(lika)mi nililalia maskio(mi nililalia maskio)
Buda nilijua nimepatwa(patwa) vile nilikuwa naona anaskwa(sakwa) ilibidi nimewasha(ayee) niendelee tu nikiwaza
(Yeah yeah )
( Chorus )
Story ilianza like this(this) vile nilikutana na Peng(peng) haga ilikuwa legit(legit) jegi zilikuwa zinadance(oooh yeah) so ilibidi nimechora(chora) vile chipo atachotwa(chotwa) kumbe huyu ngeus anachora(chora) vile bouti atatokwa(oooh)
Story ilianza like this(this) vile nilikutana na Peng(peng) haga ilikuwa legit(legit) jegi zilikuwa zinadance(heeee) so ilibidi nimechora(chora) vile chipo atachota(chota) kumbe huyu ngeus anachora(chora) vile bouti atatokwa
( Verse 2 )
Ayee
Shida bouti alipewa hiyo duri vizuri bouti aliibonda
Buda hakuuliza mbona tumetoka hiyo dunda na dame hajachoka kumbe huyo ngeus ako maji ju saa sita ya usiku alitema mogoka vile nilikuwa mangwai Hadi nilicheki huyo dame akidoze na Toja but
Usiku alivyochachisha shawty alipanda Hadi kwa dirisha vile ananyonya anapandisha hakuna time mzae alilalishwa Buda hiyo mduks inatisha so ata akisonga mi sikusoma ni ka mchele ilikuwa ndani ya cola ju nilichoma then nikabonda then kitanda ikabonga
Lakini kitandani usiku wa manane baridi ilikuwa inanigonga ju dem alitumia bedsheet kubeba njumu na nguo za gikomba , Dame alihepa na mali lakini aliseti bado nyongi moja , Ratchet intention, shawty imagine chenye aliniachia ni ngotha
( Chorus )
Story ilianza like this vile nilikutana na Peng(peng) haga ilikuwa legit(legit) jegi zilikuwa zinadance(ooh) so ilibidi nimechora(chora) vile chipo atachota(chota) kumbe huyu ngeus anachora(chora) vile bouti atatokwa
Story ilianza like this vile nilikutana na Peng(peng) haga ilikuwa legit(legit) jegi zilikuwa zinadance(heee) so ilibidi nimechora(chora) vile chipo atachota(chota) kumbe huyu ngeus anachora(chora) vile bouti atatokwa ( *2 )
( END )
Тэги:
#bahati #trio_mio #buruklynboys #diana_marua #being_bahati; #kenyanmusic #trap #hiphop_kenya #buru #trending_right_now #boutross_songs #music_kenya #MR_BEAST #TAKEOFF #DIANA_MARUA #FATHERMOH #AKOTHEE #KUNA_KUNA #SIKO_FITI #BUTROSS #KENYA #SHAMRASHAMRA #gengetone #drill_music #kenyan_drill #wakadinali #amapiano #breeder #nviiri #bensoul #bien #inauma #yea_yea_t #tiktok #bien_dimension #utzoea #butross #diamond_platinumz #nasty_c #young_lunya #s2kizzy #millard_ayo #boomplay #afrobeats #afrobeat #burnaboy