Meneja Uhusiano wa Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Deus Buganwa, amezungumzia mabasi sabini ya Mwendokasi yaliyokwama bandarini, kwa kusema kuna baadhi ya taratibu hazijafanyika na wanazishughulikia hivyo muda wowote kuanzia sasa mabasi hayo yataingia barabarani.