Комментарии:
WABONGO 🎉 MUNATUPAMBA SANA KWA MUZIKI WENU, KUTOKA MOMBASA KENYA ❤😅
ОтветитьFrom SA but most of the time I listen the Tanzanian and Malawi songs ❤
Ответить❤🎉🎉🎉
Ответить❤❤❤❤
ОтветитьMpaka Leo nafurahia hii ngoma
Ответитьthe THT product, yaani likatoka vocal hatari saana....
Ответить❤❤ hii nyimbo imeweza sana
Ответить❤❤🇳🇦
ОтветитьKusema tu ukweli collabo ilikubali,,,,😍,,,likes kwa walokubali
Ответить❤❤❤❤
ОтветитьI wish I could subscribe a thousand times...😢
Ответить❤❤
ОтветитьLkn kawimbo aka jmn❤❤❤❤❤❤
ОтветитьKweli mwamba uko vizuri sana
ОтветитьThis song is such vibe 💯🎵
Ответитьshika mo dada❤❤❤
Ответить🥰❤️💯
ОтветитьOne of my top 5 from the African Continent. This goes straight to the ❤
Ответитьverse ya Nandy imefunga kazi
ОтветитьFrom malawi love ❤❤❤❤❤❤❤Nice beat
ОтветитьAhhhh
Ahhhh
Ehhhh
Ohh na na na na na
Penzi langu wali hudi ali hudi lanukiaa
Kumpenda sina budi
Nitangaze hadharani ikibidi
Tufanye makusudi
Hatuogopi tantalila zao
Maneno nchajao
Wanafanya maneno baby
Sitofanya matendo
Imani niliyonayo ilitengenezwa na wewe
Huko nyuma nilianguka
Ukaniokota ukanipangusa
Upendo tulionao umetengenezwa na mm nawe
Hapo nyuma walituangusha tukanyanyuka
Penzi Tamu
Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jamani mapenzi matamu
Penzi Tamu
Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jamani mapenzi matamu
Anhhh
Aiyaaaaa
Ahhhhh
Ohhhhh ohhhhhh
Nandy.........
Ohh Papa
Kwenye moyo wangu ushauweka alama na chata
Kukupenda wewe sina shaka anhhh
Mhhhhhh
Kwenye akili yangu ni wewe pekee ndo menikaa
Kwengine roho inakataa
Ohhh
Moyo umekwamini
Maana huniishi akilini
Sijui umenipa nini
Mhhh
Au umenitupia kajini
Ndomana umeniwini
Maana huniishi akiliniiiii
Ahhh Tell them my love
Imani niliyonayo ilitengenezwa na wewe
Huko nyuma nilianguka
Ukaniokota ukanipangusa
Upendo tulionao umetengenezwa na mm nawe
Hapo nyuma walituangusha tukanyanyuka
Penzi Tamu (ohhh)
Neno penzi kwangu tamu (baby )
Neno penzi kwangu tamu
Jamani mapenzi matamu (jamani mapenzi matamu)
Penzi Tamu
Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jamani mapenzi matamu
Tamu baby
This is barn boy classic
Comix lizer
What a masterpiece❤❤
ОтветитьFrom Sara vibes to here😂😂😂😂❤❤❤
ОтветитьAre they singing in Swahili?
ОтветитьI love the song❤😊😊😊😊
Ответитьlove this song 🎉🎉🎉🎉
Ответить❤❤
ОтветитьImani niliyo imetengenezwa na ww❤❤
ОтветитьMswahili hafundishwi kiswahili.. Barnaba Boy...
ОтветитьSo much love from Algeria🇩🇿 to you ❤❤❤❤❤❤❤
ОтветитьNgoma kali, listening 2024 august ❤
ОтветитьI'm here 2024 now❤❤❤❤
Ответить2024 August here representing kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
The pride of Africa.....
Nandy❤❤
Ответить❤❤❤❤
ОтветитьNiaje blaza
Ответить👍👍👍 Barnaba ft nandy
ОтветитьPenda san nandy from 🇰🇪🇰🇪
ОтветитьThis song it awakens my feelings for her .....
Ответить❤❤🎉
Ответитьjmn mapenzi matamu 2024 tupo 🌹🌹
Ответить🥰🥰💯🏳🌈
ОтветитьWaoooh nyimbo nzuri sana jamani kams unawakubali gonga like tujuane
ОтветитьYou are beautiful together 😊😊
ОтветитьNandy anajua mpaka ananikera sana
ОтветитьBarnaba the Best
Ответить❤❤❤❤
ОтветитьOyaaaaa NANDY demu wangu lakini hajui😅
ОтветитьNand unajua hongera sana🤩🥰😿
ОтветитьBarnaba unajuwa ata mondy aingii ndani
Ответить