Комментарии:
🔥🔥🔥🔥🔥👏👏Big up sana bro
ОтветитьJuj wa maajuj ni kenyonyo au lebrican
ОтветитьHii imeeend kaka❤❤❤
ОтветитьGreat teachings based on juja na mahajuja🔥🔥🔥 Allah huyalam out endtimes
ОтветитьHii ndo yenyew
ОтветитьFlat Earthers
ОтветитьJuj na maajuj watoka kitakapo karibia qiama
ОтветитьMashaAllah profesa nakukubal san
ОтветитьUkuta huo uko wapi saivi
ОтветитьSUBHANALLAH
ОтветитьAlaah akbar ❤❤❤
ОтветитьWazo langu ni kwamba hivi viumbe vipo kwenye sayari tofauti na hi dunia yetu, astronauts have been trying to venture into different planets and they've been making discovery of several planets of which are billions and billions of miles away from Earth 🌎, this means if these creatures are in existence then they're far far away from Earth 🌎 and it will take those creatures many years to reach the earth 🌎.
ОтветитьTuletee historia ya harout na maarout tunahitaji kuifaham kwakina zaidi inshallah
ОтветитьUsalama wa maisha ya mwanadam ni katika kumuamin Yesu kristo maana yeye pekee ndio njia ya uzima.
ОтветитьThulqarnain anafahamu mahali walipo sababu yeye ndiye alijenga ukuta wa kuzuia Juja na Majuja, hawa ni KAKA ZAKE WACHINA, WAMONGOLIA, WARUSI , WAKOREA NA WAJAPANI
ОтветитьDhurkainaini alijenga huo ukuta wapi brother 😅😅 ambayo Shaba ya kuyeyuka iliwekwa ambayo mpaka leo ipo alafu hatujauona hapo umetupiga kaka 😅😅😅
ОтветитьWaje tu boss nyuklia moja tu kwisha waje tunawakaribisha hizi dini hizi ebu tuziangalieni wakati wanatoa hizo story hawakujua kwamba teknolojia itakuwa kuubwa na watu wata question haya mambo kweli jaman hata kama sina elim ni kilaza wa mwisho UKUTA 😮😮gani huo tusioujua dunia ya leo unaona kila kitu via Google map and GPS 😅😅😅😅stop lying brother
Ответитьuongo
mtupu
Gog ma gog
ОтветитьGog ma gog juj wamajuj
ОтветитьAllah atupe mwisho mwema wake
ОтветитьMake sure your prepared for the second coming of Jesus Guys 😢😢
Ответитьtuombeni mwisho mwema
ОтветитьALLAH AKBAR
ОтветитьLeprechaun
ОтветитьEwe Mwenyezi Mungu 🤲, naomba utupe mwisho mwema
Ответитьrehma na amani zimfikie juu yake kipenzi chetu (mtume wetu muhammad) lakini pia hata wakristo😁 wanamkubali kuwa yeye ni mtume wa mwenyezi mungu.
Ответитьndo ninapoipendea dini yangu ya haqqi ya uislamu yaani inakuonya na lile jambo kabla halijatokea kiukweli namshukuru mungu kwa hii neema. Alhamdulillah.
ОтветитьHow did u know that my guy.?
Ответить😢
ОтветитьMungu tusaidie😩😩
ОтветитьHapa jamal aliweza
ОтветитьQuran haiongopi👏👏
ОтветитьMashallah allah akupe nguvu uzid kutuelimish
ОтветитьAcha mkwala bana
ОтветитьProfessor Tupe Location Sanamu Lako Tukujengee Wap
ОтветитьAllahu Akbar
Ответить👏👏
ОтветитьJinsi gani inshaalla ina nguvu kubwa❤
Ответить😢mashallah
ОтветитьAllah Akbar 😢Nimejifunza pakubwa sana
ОтветитьKwa mm uwelewa wangu hao viumbe watakuwa ni aliens
ОтветитьNi Dracula
ОтветитьMasha Allah❤❤❤
ОтветитьMwenyezi Mungu atujalie mwisho mwema maana sisis wanadam cio chochote 🤲🙏
Ответить2024 nimeiludiakui tazamatena 🎉
Ответить😂😂itabidi nijifanye nime kufa wakati uo😂😂
ОтветитьNapenda sana unavyo toa maelezo yako. Uko fasaha mno
ОтветитьNawaza haya madini jamaa anayapata wapi?😢 dah Allah tujalie mwisho mwema
ОтветитьStori za Jamali ni stori zinazo waingia watu
Ответить