PADRI DEVID:NIMEKUA MASIKIN BAADA YA KUA MUISLAM

PADRI DEVID:NIMEKUA MASIKIN BAADA YA KUA MUISLAM

msimbu online tv

6 дней назад

7,107 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 - 31.10.2024 23:14

Simon kivimba uislamu ndiyo haki umetawala ulaya miaka 800 elewa

Ответить
@SaadiyaMohammad-og5bg
@SaadiyaMohammad-og5bg - 01.11.2024 00:19

Bro hujawa masikinia mungu anajuwa imania Yako mungu atakusaidia aminia haya yote ya. Dunia yatapeta utakuwa sawa kuwa naimania Yako kwa mungu utaona miujiza yamungu

Ответить
@JamalAbas-fe5dj
@JamalAbas-fe5dj - 01.11.2024 04:49

Rudi kwa makondoo ukapige pesa uislam hautoi pesa

Ответить
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw - 01.11.2024 09:38

M/Mungu azidi kutuongoza ktk dini yake ya haki ya Uislam

Ответить
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 - 01.11.2024 10:25

Maashaallah Allah akufanyie wepesi ndugu yangu, ila warusha matangazo mnanikera sanaaa, hammalizi kiu yangu katika huu ishuhuda wa kweli, mnafanya Kama filamu, i so interested na mapdri wengine wachukue uwamuzi muda ni sasa, hakuna ajuae Kesho Yake,, silimuni itupeni dunia, Allah anasema siku tutakapo wafufua madhalimu tutawauliza mmekaa duniani muda gani,? Watasema siku moja Tu au nusu Yake,,,, hebu vuta picha ndugu yangu mkristo siku hiyo isiyo na Shaka itakuajeee,?? Silimu silim silimuuuu

Ответить
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 - 01.11.2024 10:50

Huyu mzee sio mzima yani unaamini mhammad ni mtume wa Mungu? Kweli wewe sio mzima

Ответить
@abdillahramadhani2983
@abdillahramadhani2983 - 01.11.2024 10:58

Natamani iendelee tupate faida zaidi

Ответить
@wadudi2741
@wadudi2741 - 01.11.2024 11:09

Baarakallah feeka

Ответить
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 - 01.11.2024 11:34

Ndugu yangu utakuwa maskini hapa duniani lakini utakuwa tajiri kesho akhera muhimu kuwa na subra. Hapa duniani tunapita tu lkn maisha milele ni huko peponi.

Ответить
@diti4899
@diti4899 - 01.11.2024 13:40

Kwani ukiwa Padri unakua tajiri?

Ответить
@abuhassan9552
@abuhassan9552 - 01.11.2024 17:17

Fanya Subra ndugu yangu utajiri wa dunia hauna maana utajiri wa Akheyra nibora na ni wamilele na milele❤

Ответить
@johncamara-bp2lv
@johncamara-bp2lv - 01.11.2024 17:49

Rudi kundini

Ответить
@BakariRamadhani-w5f
@BakariRamadhani-w5f - 01.11.2024 18:15

Alwah akujalie kila la kheri

Ответить
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza - 01.11.2024 18:29

Hata hivo roma s kanisa n mashirika yanayotumia biblia kuchukua pesa ungeokok tu uko ulpoend umeend kwny din ya wachaw na majin ungeokok ungemuon mungu

Ответить
@ShukurkollAngel
@ShukurkollAngel - 01.11.2024 18:37

Hakika unastahili pongezi kubwa. MashAllah! Neema na Rehma za Allah SW ziwe pamoja nawe. Uwe mwenye kufaulu duniani na kesho Akhera.

Ответить
@jamalkishangu
@jamalkishangu - 01.11.2024 20:34

Allah anapomtaka mja wake humfungulia moyo wake katika kheri.

Ответить
@samxx411
@samxx411 - 02.11.2024 07:38

Nyie endeleeni viburi na matusi yenu, wenye akili na elimu zao wanasilimu kila siku kujinusuru na adhabu za Allah

Ответить
@mpagikhatib3684
@mpagikhatib3684 - 02.11.2024 10:31

Hakika dini lakiisilamu nidini iloyo tamu naniyahaki Allah akisema qunifaya qumu

Ответить
@aityubd
@aityubd - 02.11.2024 10:59

Rutabo anakosema miaka hiyo kulikuwa na darasa la 6 na 7. Na mpaka leo hakuna masomo ya sekondari.
Mlolongo wa masomo hauko vile katika mfumo wa masomo ya Kikatoliki. Pia hakuna chuo kikuu cha Vatican.
Mtu alikaribia kupadrishwa anakuwa amehitimu masomo ya teolojia. Halafu anasema alipelekwa kusoma teolojia. Kwa ufupi ANAOTA, ANATUNGA STORI

Ответить
@eradiusrwegoshora8857
@eradiusrwegoshora8857 - 02.11.2024 11:09

Mtu muongo, utamuona usoni tu, hahahaha maneno yake na maelezo yake yanaonesha kuwa anatunga. Katika Kanisa mtiririko wa mtu kuwa Padri hauko hivyo 😂😂

Ответить
@Kanyawela
@Kanyawela - 02.11.2024 11:18

Hakuna dini ya haki duniani ispokuwa kuokoka yaani kumpokea Yesu kuwa mwokozi wako

Ответить
@AzizaBakari-i1s
@AzizaBakari-i1s - 02.11.2024 11:49

Mashaallah❤

Ответить
@AminamohammedBashir-j7i
@AminamohammedBashir-j7i - 02.11.2024 13:56

Allah anaangalia imaniyakotu,kua nasubra inshallah

Ответить
@KIZIMYAMOTOMussa
@KIZIMYAMOTOMussa - 02.11.2024 17:34

Nahuo utajiri ulio uaca ndo unaowafanya wengi wazidi kuukumbatiya ukristo kwa sababu ukristo unalipa na wakristo wanapigika kiurahisi kwa sababu huko hakuna dini Bali ni biyashara tu

Ответить
@DeoKanyatta
@DeoKanyatta - 02.11.2024 21:14

Avhana nanhiyo iini ya mashetani na majini, rudi seems sahihi, huko yamejazana malofa

Ответить
@mammukaratu2084
@mammukaratu2084 - 02.11.2024 23:17

Usiogope maana hata Yesu alikuwa maskin.kuliko manabii wote....hakuwa na shamba, nyumba wala chochote....na aliwah kusema sina hata sehem ya kulaza ubavu wangu...

Ответить
@ibbu-tz
@ibbu-tz - 03.11.2024 12:17

Mwenye hii chaneli, awe muadilifu katika kuandika vichwa vya habari, sio kutafuta views tu.

Ответить
@kolosii4351
@kolosii4351 - 03.11.2024 13:49

Tamaa ya kuoa wanawake wengi.

Ответить
@chrysostomagapiti8635
@chrysostomagapiti8635 - 03.11.2024 13:54

Ni Stori ya kutunga. Katika Kanisa Katoliki hakuna mtitiriko huo wa masomo kwani kwa kuanzia hakuna elimu ya dini ya miaka 6 kabla ya kuingia shule ya msingi. Pia Ntungamo hawafundishi Theolojia..wala Peramiho huwezi kusoma mwaka mmoja uwe Padre. Inashangaza pia eti Chuo Kikuu cha Vatican?? ambacho kinatoa Refresher Course ya Islamic?? Muonekano wake mbele ya Camera inaonesha uongozi. Eti aliapishwa kuwa Padre wa Kanisa Katoliki??? Endelea kuwadanganya wasiojua Ukatoliki na taratibu zake.

Ответить
@0diraWilson
@0diraWilson - 03.11.2024 14:56

Ndugu zangu tusijaribu kutoa lugha chafu kwa dini ya mtu, mbona tuna marafiki wengi WAISLAM na unaishi kwa UPENDO bila kujali dini ya mtu? Huu ni mmomonyoko wa Maadili ya watu wachache. Hata hivyo hiyo lugha unayoitumia msidhani hatuijui, tunaijua sana sana zaidi unavyo fikiria. Nia yangu nikuwa na TANZANIA yenye UMOJA bilakubaguana kiimani au dini. Mimi sijui maneno KABISA na sipendi kubishana. IPO siku usije niona mkali. Tusijaribu kuichezea AMANI aliyotuachia, Mwl JK. Nyerere, ili tuishi kwa amani

Ответить
@MaulidKomboza-wh2ki
@MaulidKomboza-wh2ki - 03.11.2024 15:08

ALLAH akulinde akupe khair nyingi Sana Allahummah Aamiiin.

Ответить
@graciousmgeni7249
@graciousmgeni7249 - 03.11.2024 15:30

MAUDHUI KAMA HAYA HUPENDWA NA WALE WA KRISTO NA WAISLAMU WASIO NA AKIRI. MNABISHANA UTADHANI DINI YAKO NDO DHAHABU VILE. .SABABU KUU YA KUJIULIZA WEWE NI KWAMBA UNGEKUA MCHINA AU MUHINDI UNGEAMINI NINI. KWAIYO BASI WE KAZANA NA UPUMBAVU WAKO WAKUSHABIKIA DINI PASIPOKUJUA YESU NA MTUME MOHAMADI WOTE WALIFANYA KAZI YAO ILIYO WALETA. Hata wewe leo unaweza ukaishi vizuri na watu wakaamini umeletwa kwaajili ya dunia. KUMBUKA DINI HAIKUFIKISHI MBINGUNI. PIA HATA HUJUI HIYO MBINGU IPO.

Ответить
@JeremiahKavakule
@JeremiahKavakule - 03.11.2024 17:17

Endelea kufa masikini si umejiunga na wapinga kristo

Ответить
@halimajuma-u9g
@halimajuma-u9g - 03.11.2024 19:27

Mashaallah Allah akupe thabati

Ответить
@bishingwemaxime3655
@bishingwemaxime3655 - 03.11.2024 20:11

Allah akbar

Ответить
@bishingwemaxime3655
@bishingwemaxime3655 - 03.11.2024 20:12

Wewe ni tajiri wa hali ya juu

Ответить
@bishingwemaxime3655
@bishingwemaxime3655 - 03.11.2024 20:14

Kuacha ukafiri ni Tosha wewe ni tajiri

Ответить
@geofreyjosephat8031
@geofreyjosephat8031 - 03.11.2024 21:22

Kwanza huyu mpuuzi hajui lolote kwenye ukatoliki....eti alilishwa kiapo kuwa padre??? Kweli wajinga ndo waliwao....!! Eti aliambiwa hatapadirishwa ili aende kwanza Roma asome?? Kusoma kulimnyimaje kuwa padre?? Eti chuo kikuu Cha Roma??😂😂😂😂 Kweli misukule ya mwamedi mnadanganyika aisee!!!! Halafu eti niliporudi nikapumzishwa Msimbazi center kwa siku 7, kisha nikalishwa kiapo Cha kuwa padre😅😅😅😅

Ответить
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 - 03.11.2024 21:31

Huyu karushiwa ma kurujuani sijui mhaya gani huyu

Ответить
@halfanemmanuel7811
@halfanemmanuel7811 - 04.11.2024 06:03

Hakika tumepata MTU HASWA,

Ответить
@daslamonline4665
@daslamonline4665 - 04.11.2024 06:56

Kwa hapa Dunia na akhera unapata kule Dunia tupu
Hivyo mitihani pambana nayo allha akupe subira pia🤲🏻

Ответить
@nixonmwanguni3094
@nixonmwanguni3094 - 04.11.2024 07:32

Mashallah,kugudua dini ya haki.

Ответить
@benyavan5774
@benyavan5774 - 04.11.2024 08:20

Wewe unasoma kinyume hujui

Ответить
@eugenvem1818
@eugenvem1818 - 04.11.2024 09:22

Eti padriiiii wa wap wewe njaa zitakuua

Ответить
@josephmaleckela9904
@josephmaleckela9904 - 04.11.2024 15:44

Ni muongo mnooo aiseee

Ответить
@jovitusrugahenda7139
@jovitusrugahenda7139 - 04.11.2024 16:31

MWONGO MTUPU!!!Mwogope Mungu!!!

Ответить
@LukassilayoLukassilayo
@LukassilayoLukassilayo - 04.11.2024 16:42

Huyo jamaa ni muongo na hajawahi kuwa padri

Ответить
@LukassilayoLukassilayo
@LukassilayoLukassilayo - 04.11.2024 16:50

Huyo jamaa anatafuta huruma ya waislam wampe pesa Hana lolote ni mpigaji utaratibu wautawa haupo hivyo ni muongo acha kuwad

Ответить
@LukassilayoLukassilayo
@LukassilayoLukassilayo - 04.11.2024 17:09

Kwanza hakuna elimu ya awali ya miaka SITA ktk kanisa katoliki huo ni uwongo no Moja swali dogo tu alipadirishwa na askofu nani?na alipangiwa parokia ipi?

Ответить
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr - 06.11.2024 22:45

Duu makafiri wagumu angalia comment zao

Ответить

Полностью готовый ремонт Квартиры в ЖК Кватро в Сочи️ Ремонт и Строительство в Сочи // Master House
Десерт Капучино. Эксперименты Кондитера. Dessert Cappuccino. Кондитер. Iulia Portugalia. Рецепты и туризм.
Imnul CONCORDIA Concordia Moldova