AHMED ALLY AVAMIA INTERVIEW YA ALLY KAMWE "AMCHANA MAKAVU | IBENGE ATAWAUWA | UTACHEKA UTANI WAO

AHMED ALLY AVAMIA INTERVIEW YA ALLY KAMWE "AMCHANA MAKAVU | IBENGE ATAWAUWA | UTACHEKA UTANI WAO

Ayoma Media

6 дней назад

63,442 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@mkude
@mkude - 09.01.2025 07:32

Safi sanaa mpira sio uaduii,wote waende wakapambanie nchi.mimi nipo pamoja na Yanga na Simba.

Ответить
@mckobatz5861
@mckobatz5861 - 09.01.2025 07:53

Kamwe mbona kinyonge hivyo mdogo wangu hatujakuzoea hivyo bhana Mr kamdomo 😂😂😂

Ответить
@mckobatz5861
@mckobatz5861 - 09.01.2025 07:57

Interview imechangamka baada ya Ahmed kuingia kwenye scene😂

Ответить
@omariaman7818
@omariaman7818 - 09.01.2025 07:59

Ahmed ally namkubali sana

Ответить
@YusuphBenjamin-uf7lh
@YusuphBenjamin-uf7lh - 09.01.2025 08:01

Sema hawa watu wawili wanapendana sana afu ni washikaji sana yan hawagombani kitoto yan

Ответить
@AlexJotham-b5m
@AlexJotham-b5m - 09.01.2025 08:25

Sasa hivi unaongea kwa heshima kubwa

Ответить
@tungaraza7794
@tungaraza7794 - 09.01.2025 08:41

😅😅😅😅😅

Ответить
@SojaWaBrazil
@SojaWaBrazil - 09.01.2025 08:45

Kamwe kamdomo kameisha😂😂😂

Ответить
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s - 09.01.2025 08:52

👏👏👏👏👏👏👏🦁🇹🇿♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏

Ответить
@davidwatson6821
@davidwatson6821 - 09.01.2025 08:57

Nimeipemda hiyo, huo ndio utani , siyo matusi safi sanaaaa

Ответить
@tumaini37
@tumaini37 - 09.01.2025 09:10

Hongereni wasemaje wetu
Kila la heri, utaifa kwanza

Ответить
@jurmainezaidi739
@jurmainezaidi739 - 09.01.2025 09:19

Kuna mwamba anakenua balaa 😅😅😂😂

Ответить
@DJEma-p1e
@DJEma-p1e - 09.01.2025 10:05

Nimeipenda

Ответить
@amonshimba264
@amonshimba264 - 09.01.2025 10:08

Lolote baya liwapate Yanga

Ответить
@AthamanRamadhani
@AthamanRamadhani - 09.01.2025 10:32

Nimefurahi kuwaona Ally Kamwe na Ahmed Ally pamoja,jamani mpira si ugomvi

Ответить
@IddyNchama
@IddyNchama - 09.01.2025 10:51

alliy umenena vyema sana umemwambia ahmed alliy kwama mnaenda kupambania taifa hilo nineno jema na la muhim sana

Ответить
@kulwamagodya5998
@kulwamagodya5998 - 09.01.2025 11:09

Ally Kamwe na Ahmed Ally hawa wote wamefanya kaz Azam tv na ndomaana ni marafiki sana sema majukumu yao ya kaz ndo yanawafanya wawe mbali mbali lkn wanapendana sana big up kwako huo ndo mpira coz sio uadui🙏🙏🙏

Ответить
@AlbinusRomanus
@AlbinusRomanus - 09.01.2025 11:51

Ahmed ally semajiiii la mnyamaaaaaa

Ответить
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 - 09.01.2025 12:10

Kiukweli Ahmed Ally na Ally kamwe ndio wanaleta maaana halisi ya utani wa jadi

Ответить
@TheMakala21
@TheMakala21 - 09.01.2025 12:25

Nimeyapenda haya mahojiano kwa kweli!😆😆😆

Ответить
@babiz255
@babiz255 - 09.01.2025 12:50

Ungemuuliza Kamwe." Amekumbuka kubeba Calculator?!"

Ответить
@ZachariaMwita-bu7rw
@ZachariaMwita-bu7rw - 09.01.2025 12:51

Semaji na mropokaji😂

Ответить
@UmayyaMunisi
@UmayyaMunisi - 09.01.2025 12:56

Hahhaaaa ila hawa😂😂😂

Ответить
@MossesEvance
@MossesEvance - 09.01.2025 14:14

Mbona unatukana kienyeji kwahy simba tumekuwa hawa kulaleki😂😂😂

Ответить
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 - 09.01.2025 14:40

Aka nako na miwani yake kama kabibi kizee

Ответить
@MARACKMESHACK
@MARACKMESHACK - 09.01.2025 14:41

Ubaya ubweraaaaaa

Ответить
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 - 09.01.2025 14:52

Hawa wachawi wakimaliza kucheza tukasafishe uwanja na tutafute wachungaji na mashehe wakauombee uwanja Bila hivo hawa wachawi sio watu wazur

Ответить
@laninjeje8290
@laninjeje8290 - 09.01.2025 15:14

Leo Ally Kamwe umeongea point sana, kinachotakiwa kwa Al hilal ni point 3 Wala sivinginevyo

Ответить
@Agnesssefu
@Agnesssefu - 09.01.2025 15:32

Congo waliwapiga m naomb uko mafta ya pi did yasikae mbali kwamsaad zaid wakulainish mwil

Ответить
@josephvenus3259
@josephvenus3259 - 09.01.2025 15:38

Hii nimeipenda 😂😂😂 🦁🐸

Ответить
@jumanneomari2964
@jumanneomari2964 - 09.01.2025 15:52

💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛

Ответить
@MmbengaFreddy-h4p
@MmbengaFreddy-h4p - 09.01.2025 16:18

Ahmed Ally km pidd yan

Ответить
@thomasfrancis6177
@thomasfrancis6177 - 09.01.2025 16:51

Hii ndio maturity mpira it's funny

Ответить
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 - 09.01.2025 17:08

Ila ni kweli maisha ya Simba ni kupata point kwa Bravo tofauti na hapo ni vita

Ответить
@MosesIbrahim-c2m
@MosesIbrahim-c2m - 09.01.2025 20:42

Ahmed big up brother

Ответить
@MosesIbrahim-c2m
@MosesIbrahim-c2m - 09.01.2025 20:45

Kwel mpira cyo uadui

Ответить
@alexpius3827
@alexpius3827 - 09.01.2025 20:54

Elena neno Kupinduka 😂😂😂😂

Ответить
@MzeeBabu-s6y
@MzeeBabu-s6y - 09.01.2025 21:12

misha biki ya yanga uku ina fanya mpila uwa dui mume waona wasemaji wetu hao

Ответить
@charlesmahuna
@charlesmahuna - 09.01.2025 22:00

Kamdomo kamdomo

Ответить
@zahorogibson1519
@zahorogibson1519 - 09.01.2025 22:07

Vizuri kabisa huo ndo hushikaji mzuri tofauti na mpir Mungu hawaongeze mkafanikiwe 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️

Ответить
@raphaelchuche6281
@raphaelchuche6281 - 09.01.2025 22:08

nmependa ally kamwe alipomwambia ahmed ally kila la kheri na aliposema twende wote tukapambanie nchi

Ответить
@NeemaJacob-j9x
@NeemaJacob-j9x - 09.01.2025 22:40

Nguvu moja💪🙏

Ответить
@MabodoMarwa
@MabodoMarwa - 09.01.2025 22:49

Wasemaji wanapendana

Ответить
@MathiasKunnanga
@MathiasKunnanga - 09.01.2025 23:00

Jamani inawezekanaje simba afikishe 12 alafu asifuzu

Ответить
@charleznicholas416
@charleznicholas416 - 09.01.2025 23:03

Pamoja na urafiki,,, Ally Kamwe hamuwezi Ahmed Ally,,, wakiwa mbali mbali utakasikia kanaropoka😂😂😂

Ответить
@evaristgamba4204
@evaristgamba4204 - 10.01.2025 06:29

Safi sana kazi iendelee semaj la Caf nakupata vyema

Ответить
@Lulu-ws2sn
@Lulu-ws2sn - 10.01.2025 14:01

Ajaedit yupo sahihi alisema kuanzia 2020

Ответить
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 - 10.01.2025 15:05

Ahmed Ally ni mzoefu hata kwa usemaji na kupangilia nini anakiongea

Ответить
@PabloDallas255
@PabloDallas255 - 10.01.2025 17:05

Semaji na Wa kukurupuka

Ответить