DUNIA  ( Ep 58 )

DUNIA ( Ep 58 )

Bongo Series Plus

55 лет назад

7,091 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@MwajumaAbeid-o3x
@MwajumaAbeid-o3x - 17.03.2025 22:20

❤❤❤

Ответить
@RukundAlex
@RukundAlex - 15.03.2025 20:16

Aa MNABOWA bwn Kam mmeshindwa achien wengine wafanye kazi

Ответить
@Neemamedrick
@Neemamedrick - 13.03.2025 07:05

❤❤❤❤❤

Ответить
@SophiaMatle
@SophiaMatle - 12.03.2025 14:56

🎉🎉🎉

Ответить
@MaryAtieno-p3f
@MaryAtieno-p3f - 12.03.2025 14:23

mati pole sana mwanangu, mungu atakushugulikia, nakupenda sana mati

Ответить
@MaryAtieno-p3f
@MaryAtieno-p3f - 12.03.2025 14:15

Wee manyanya! umemkosea sana mati, nakuchukia manyanya, umeumiza moyo wangu, sijapenda kumuona mati akiwa kwenye Hali hiyo, jua vile utafanya , mati arudi kwa Hali yake ya kawaida, umenikasirisha sana

Ответить
@TinaKazungu-g3d
@TinaKazungu-g3d - 12.03.2025 13:55

Acheni kuturusha roho kma hakuna episode tumechoka😢😢😢😢😢

Ответить
@JissyKalyoto
@JissyKalyoto - 12.03.2025 12:25

Upendo ni ndani ya moyo wa mtu. Usi waite wazazi n'a ukawaza wata acha upendo ulio potea uta Rudi. Ile una ji danganya. Ndio maana Nina uhakika kwamba manyanya ana mpenda matilda kuliko kila kitu.... 😅😅 Hata upige mayayi... Sijuwe Nini... Roho ina weka bitu ingine

Ответить
@GloryMnyone-lo2jr
@GloryMnyone-lo2jr - 12.03.2025 12:13

Vai hujui busu mpapasoo♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

Ответить
@SaidaTwaibu
@SaidaTwaibu - 12.03.2025 11:50

❤❤❤❤❤❤

Ответить
@atuganilekapas3176
@atuganilekapas3176 - 12.03.2025 11:03

Jamani tunaomba mwendelezo Vailety maua yake🎉🎉🎉

Ответить
@NaomiJiana
@NaomiJiana - 12.03.2025 10:23

Vai hajui busu msafirisho😅😅😅😅😅

Ответить
@TinnahMalewo
@TinnahMalewo - 12.03.2025 10:18

Jmn sii mtupe mwendelezo jmn mbona hivi jmn daah mungu amsaidie mati apone jmn na pia manyanya hajfany powa kabisa

Ответить
@NgoieMoussa
@NgoieMoussa - 12.03.2025 08:36

Pole sana mati ❤❤❤

Ответить
@FaustinIkanda
@FaustinIkanda - 12.03.2025 05:17

mati ni msani mukubwa sana

Ответить
@ALEXMSUNUKA-zl6ut
@ALEXMSUNUKA-zl6ut - 12.03.2025 00:17

❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂❤😂❤❤ Tiba yamati anayo manyanya aende akaongee nae vzuli atakua sawa

Ответить
@saidseif-h5p
@saidseif-h5p - 11.03.2025 23:18

❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

Ответить
@ZaituniMmpume
@ZaituniMmpume - 11.03.2025 23:16

❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

Ответить
@MariaMsangi-b9g
@MariaMsangi-b9g - 11.03.2025 22:39

Manyanya tulia na ndoa mkeo sio kicheche🎉

Ответить
@FatumaSeif-c6k
@FatumaSeif-c6k - 11.03.2025 22:32

Nimemchukia vaileti pia manyanya kufanya mwenzio kaita ndugu zake alafu anamkataa aibu Kwa ndugu

Ответить
@CalebMbua
@CalebMbua - 11.03.2025 22:24

Manyanya please usimuashe Matt,,

Ответить
@BawiliUredi
@BawiliUredi - 11.03.2025 22:14

Jamaimatipole

Ответить
@JoyeuseIrambona-k1h
@JoyeuseIrambona-k1h - 11.03.2025 22:08

Manyanya anapenda kudekezwa kabisa

Ответить
@ZakayoSylvester
@ZakayoSylvester - 11.03.2025 22:02

Jamani mbona Dunia hatuelew asaiv vipand vinachangany hv

Ответить
@SalalaaRamadhani
@SalalaaRamadhani - 11.03.2025 21:41

Manyanya mtu na nusu

Ответить
@JosephKimati-f5y
@JosephKimati-f5y - 11.03.2025 21:14

Jman japo mati aliingilia ndoa ya mtu na mume anauma ila namwonea huruma kwel mati manyanya rudi tu kwa mati

Ответить
@rehemakidunu7545
@rehemakidunu7545 - 11.03.2025 20:48

Manyanya muhurumie maty jaman

Ответить
@FaudhiaHakim
@FaudhiaHakim - 11.03.2025 20:46

Nakuombea mati mungu yuko pamoja na wew inshaallah ❤❤❤

Ответить
@SUZANMWANJISI
@SUZANMWANJISI - 11.03.2025 20:44

Wa nne jamn manyanya muonee huluma mati😢

Ответить
@FaudhiaHakim
@FaudhiaHakim - 11.03.2025 20:42

Manyanya naomba utende haki kwa mati🎉

Ответить
@BongoKinoXtra
@BongoKinoXtra - 11.03.2025 20:32

Laki ileeeeee 🎉😊

Ответить
@NuuhJr
@NuuhJr - 11.03.2025 20:28

Ndo inavotakiwa musicheleweshe

Ответить
@ezekielsabato5063
@ezekielsabato5063 - 11.03.2025 20:24

Wakwanza leo toka kenya

Ответить