Goli na Kadi Nyekundu | Yanga SC 0-1 Azam FC | NBC Premier League 02/11/2024

Goli na Kadi Nyekundu | Yanga SC 0-1 Azam FC | NBC Premier League 02/11/2024

Azam TV

54 года назад

224,846 Просмотров

Baada ya kushinda mechi nane mfululizo, Yanga SC leo imepoteza kwa mara ya kwanza kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi.

Goli pekee la mchezo limefungwa na Gibril Sillah dakika ya 33 ikiwa ni dakika 10 baada ya beki wa Yanga kutolewa kwa kadi nyekundu.....

Hili hapa ni goli na kilichosababisha kadi nyekundu...

Тэги:

#azamtv #azamtvmax #azamsports #tanzania #azamtvtyoutube #Goli #goals #kadi_nyekundu #red_card #Yanga_SC #Azam_FC #Yanga_vs_Azam_FC #NBC_Premier_League #Ligi_kuu_ya_NBC #soka #football #Chamazi
Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии: