Комментарии:
Nilikuwa nagombana sana na mume wangu ila baada ya kueasikili now I understand hongereni sana
ОтветитьBabu yangu aliwahi kunambia mwanamke akitoka nje ya ndoa, kwenye hiyo familia huwa kunaingia mkosi hata vifaranga wanaweza kuwa wasikue wanakufa lakini hakusema kuhusu mwanaume kwenye huo mtizamo lkn ninachokijua yeye mwenyewe alikuwa na wake watatu na vimada wawili vijiji vya jilani na kote alikuwa ana watoto.
ОтветитьDokta chukua maji baridi halafu ujilipie
ОтветитьHahaa..hapa patam🤣🤣
ОтветитьDoctor upo viiizuri saana nashukuru nimekuelewa!
ОтветитьMMMH...WHERE IS DR ELLIE?
ОтветитьUpendo no tunda LA roho kweli lakini,mtiani unaoleta mpenyo was mchepuo ni jinsi mke atakavo mhendo mumewe,akiwa kiburi ,au vijitabia asivyo vipenda mumewe,tu ule uzuri wake unapotea,na kikubwa uzuri wake mwanamke sio sura umbile ,wala ranging,in paaale mashineni pakiwa poa hats kama mwanamke mdomo umekaa upande mchepuko hutauona,lakiwa pakiwa hapeleweki ,kosa dogo linakua kubwa,shida iko apo huwa hatusemi tu msijisikie vibaya,kwa kua mnataka kujua Hays jueni mjilinde kwa Tania ya kujishusha mambo yaende
ОтветитьLol huyu jamaa ana akili sana
Ответить2023 relationships marriage mungu Saudia. To find a lady who will consistently do something unique and respect her man is rare.
ОтветитьUpendo haugawanyiki,hata Suleiman mwishon aliona ni ubatili mtupu
ОтветитьHAKIKA MUNGU AKUBARIKI SANA IKIWA WANAWAKE NA WANAUME HAKUSIKIA HAPO WATASIKILIA KWENYE SUFURIA YA MOTO.
ОтветитьNimegundua kuwa wanawake kwa kuwa tumeumbwa hivyo, kuongea maneno mengi kuliko wanaume lakinni wangemucha Dr Mwaka aongee mpaka afike mwisho I hope tungejifunza mambo mengi tungeyavuna yanayohusu jinsi ya kuwa tayali kuwasitahimili hawo wanaume.
ОтветитьDada Lil ,please mwalike tena Dr Mwaka tena aje atupatie sis wanawake jamani
ОтветитьRoho haikubali mume wako atoke nje au kuongeza kwa kuoa, musijitoe ufahamu wanaume.
ОтветитьBora nicheke tu😂😂😂😂
Ответитьjamana mumenigusa sana mubarikiwe
Ответитьjamana mumenigusa sana mubarikiwe
Ответитьsibasi tena😂😂😂 upendo huo kwiyoo😅😅ukipenda umependa tu wala hauna sababu na upenda haugawanyiki abadali mtu akisema anaeza gawa upendo sio kweli❤nawapenda nyote kwa meza❤❤❤
ОтветитьNoma🔥🔥🔥
ОтветитьMwanaume ameumbwa kwa ajili ya kupenda na mwanamke ameumbwa kwa ajili ya kutii na kuheshimu.Sayansi: tendo la kufika mshindo ni sekundu 6 Mwanamke usije mkadharau mwanamke mwenzio kwa sababu ya maumbile au elimu.
ОтветитьDr Mwaka Bwana! Uko fiti sana kuyaweka sawa mambo haya.😅
ОтветитьHamna kitu hapo 😂 😂.
ОтветитьMm nampa Dr Mwaka PhD ya "Ndoa na Mahusiano". Ni dhahiri kwamba wanawake hawawaelewi wanaume na wanaume nao pia hawawaelewi wanawake ipasavyo. Ndiyo maana mikwaruzo kwenye ndoa na mahusiano haitakwisha. Kila upande unasemea kivyake bila kuvaa kiatu cha mwingne.
Naona hata mwenye kipindi (Lillian Mwasha) aliandaa "muswada" huu ili atuumbue, atulaumu na atudhalilishe sisi wanaume. Na washiriki wote wanawake walijiandaa hivyo. Matokeo yake ni kwamba wameumbuka wao.
Akina mama, acheni kujitoa ufahamu wa kutaka mfanyiwe kila kitu na kufikiri kwamba mwanamume ndiye mwenye makosa daima.
Doctor mwaka you are very bright 💪
ОтветитьAhsante Sana Wamama. Swali Kwenu ni Hili, Kati ya Mume na Mke, Nani Anamchagua Mwenzake?
ОтветитьNaomba niweke sawa hapo niongezee kwa Mzee wangu Dr mwaka, kuna khauli ya wanawake kusema wanawake wote ni sawa inapotokea mwanaume kaenda kwa mwanamke mwingine hicho hicho anacho mke wake ila sio kweli sio SAHIHI wanawake mmetofauti swala la kutoka ni akili zetu wanaume. 🤝
ОтветитьHahhahaha dr mwaka namkubali sanaa kawambia jaman
Ответитьnyie watangazaji kama hamtaki kujifunza mpo apo kubisha bisha na kuchamba . kifungeni mana mnatusumbua tu kuwafatilia
Ответитьmkuu mwaka wewe ni ulamaaa. umewasagasaga wajinga
ОтветитьKuna wanawake huwa wanawambia waume zao kuoa yawezekana kazidiwa ndani au kapata mimba kamchukia mme
ОтветитьMwashaa unaharibu flow ya points za Dr bingwa wa mahusiano
ОтветитьMwaka kaka umesimama kwa niaba yetu vizuri, big up.
ОтветитьWanaume nasisi tunatufauti wa maumbili
ОтветитьMm ni mwanamke ila nmekubali ukweli
Doctor talks reality
Dr. Mwaka unachoongea ni SAHIHI. NDIO MAANA hata mimi nina WATOTO 13 kwa Wanawake 13 na wote niliishi nao. Tatizo Moja TU kilichoniumiza ni GUBU LAO TU. WANAWAKE WANA GUBU MNO. Unaoa unafikiri umeoa Mtu Sahihi ndugu YANGU hizo 93 days ni nyingi baada ya NDOA. 57 days are enough. La Pili sisi WANAUME huwa hatufanyi sex kwa ajili ya KUPENDA huwa twafanya hivyo kwa ajili ya MIHEMKO TU. Lakini there's no way nikamsamehe MWANAMKE aliyenisaliti. 🙏🙏🙏🙏
ОтветитьAl RIJAALU KAWAAMUNNA ALA NISAHI. . MWANAMKE KAMWE usijifananishe na MWANAUME.
ОтветитьNampenda sana mme wangu at akinisaliti nitaishia kuliaa2
ОтветитьKitu sote twafaa tujue ni kwamba, ni wanaume wachache sana upenda. Wanaume wengi utamani maumbile ya wanawake tu. Atatamani makalio, atamani miguu, atamani urembo wa uso, Kuna mwanaume atatamani mwanamke mwenye macho kubwa, mwingine macho ndogo, mwingine matiti makubwa na mwingine matiti madogo. Ninachokijua, mwanaume hakuna mwanamke hawezi lala naye. Ndo maana wanalala na viwete, wazimu wanawazalisha. Wengine wanalala hata na watoto wao. Kwa hivo mwanaume Hana sababu ya kulala na mwanamke yeyote. Nambari kubwa ya wanaume hawana chochote wanachokitaka kwa mwanamke, ni tamaa tu. Kwa hivo wanawake tusijiue tuking'ang'ania kufurahisha wanaume. Huwezi kabisa. Do what you do to make yourself look good for yourself but not for a man.
ОтветитьMwanaime ni tumbo mwanamuke ni chakula tumbo inauwezo wakuchanga nyama , ugali , sombe na vingine ...
ОтветитьHongera doctor Mwaka
Ответить🎉🎉🎉😂😂liliyam. Mata🎉🎉
ОтветитьLONG TIME AGO! UPENDO HAUGAWANYIKI NDIYO MAANA HATA PACHA HUONEANA WIVU ! UKIONGEZEWA MKE UMEACHWA KIUJUMLA UWE MUISLSM UWE MKRISTO! TUMIA AKILI ISHI NAO!
ОтветитьMWAKA KAZI ZA MAGUFULI SI SAWA NA KAZI ZA MMUNGU! KUNA MMUNGU KUNA MAGUFULI ALIKUWA BINAADAMU
ОтветитьKipindi kizuri Tatizo huyo dada lilian mmbishi haelewi maumbile yetu sisi wanaume ndio maana ktk uislam tukaekewa sheria wake wanne kwasababu ndio maumbile yetu
ОтветитьWee mambo mazuri hayo I get my points ❤❤
Ответитьningeomba pia hiki kipindi washirikishwe wasichana ili muwafunde ili baadae waweze kutengeneza familia zao
Ответитьmuwakaribishe wadada tofauti tofauti ili wawasikie kile mnachofundisha asanteni
ОтветитьNice
ОтветитьJamaniii mnachekeshaaa hatareee ♥️♥️♥️♥️♥️
ОтветитьApana upendo au gawanyiki
Ответить