Комментарии:
💯
Ответить💯
ОтветитьUmemkusudia Dula Makabila😂
ОтветитьNimekuelewa sana mwalimu. Mawazo yako yaishi milele.
ОтветитьKweli sana
ОтветитьThis is biiiiig 🔥
Ответитьkweli kabisa ka mkubwa..
ОтветитьHata ukimchunga kama ataamua kufanya analo ona yy yupo sahaha atafanya tu Kwa hivyo Haina maana kumchunga mtu unae mpenda maana hata ukijua anafanya mambo mabaya hauta weza kumuacha
ОтветитьBig brain 👏👏👏👏
ОтветитьWakwanza leo🎉
ОтветитьNi ngumu sana kuwadhibiti hawa viumbe aiseee
ОтветитьNice one Mwalimu🎉. Thats the fact
ОтветитьHa ha ha
ОтветитьUmesema kweli
ОтветитьKiti Cha mbelee
ОтветитьMwalimu🫡
ОтветитьHakika umefundisha kitu kizuri sana kaka
ОтветитьWakwanza Mimi
ОтветитьMwamba unaongea point sana
ОтветитьTeacher
ОтветитьUpendo ni nini
Nini ufanye ili iwe umependa kweli
Hatareee saana
ОтветитьNapenda sanaa ule mtiririko wa maneno unayo yapangilio kuliko hadhith .ila bado naendelea kujifunza kwako .naomba turudishie ule mfumo mwalimu
ОтветитьThanks teacher
ОтветитьMwalimu nathani hili ni swala la kujadiliwa (wanawake wameumbiwa kupendwa) unaweza pata unapenda mwanamke sana lakini hakupendi anampenda mwanaume mwingine abaye pia hampendi ataa...iweje sasa
ОтветитьKama ujawaii mchoka mwalimu gongaa likee hapaa
ОтветитьSaw teacher lkn inategemea unawez kumpenda lkn akakudharau na akampenda ambaye ana time nae
ОтветитьThis is very true but with repercussion I have seen them losing the bone with meat going for steak for few
ОтветитьDuuuuuh yan wew unajua san bro
ОтветитьVipi na concept ya kudanga mwalimu naomba muongozo
Ответить🙏🙏🙏🙏
ОтветитьVery clear
ОтветитьMwanamke anaweza akaolewa na mwanaume ambaye hampendi kabisa LAKINI anatimiza haja za yule mwanamke. Kuolewa kwa kwa mwanamke kuna sababu zifautazo:-
*sababu ya uchumi
*Ulinzi
*umri
*kupata watoto
*sababu za kijamii
Mwanamke anaweza kuishi na wewe ,akazaa na wewe mkaishi miaka mingi tu LAKINI hakupendi sababu kubwa kwake huenda unatimiza hayo malengo yake tu mengine anavumilia. FUATILIA UTAPATA UKWELI WA MANENO HAYA!
Thanks my mentor.UPENDO
ОтветитьMusihangaike hawa hawajawah kuelewek kila mwanamke ana pin zake bwan , fanya ufanyavyo hawa mungu alisahau kutupa kanuni yakwenda nao sawa .
ОтветитьNimeelewa sana mwalimu mwanamke ni kiumbe ambaye huwa ajulikan anataka nini
ОтветитьTaarifa kutoka hapa Zambia hiyo mantapala camp in 2022
ОтветитьDaaaah
ОтветитьHaya mapenzi jamani dah, kikubwa uhai tu.
Ответить