TBC1- NYOTA WA WIKI : MEJA JENERALI WA KWANZA MWANAMKE TANZANIA, ZAWADI MADAWILI (PART 1)

TBC1- NYOTA WA WIKI : MEJA JENERALI WA KWANZA MWANAMKE TANZANIA, ZAWADI MADAWILI (PART 1)

TBConline

3 года назад

148,791 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 - 19.10.2021 08:58

Hongera sana mama Meja Generali Mungu akujalie maisha marefu.

Ответить
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 - 19.10.2021 09:04

Wamama Tz mnaweza sana. Sasa tunae Rais wa kwanza mwanamke EA na hata bodigadi wanawake tunawaona sasa. Watz tuwaunge mkono wanawake zetu wanaweza. Watoto wa kike jipeni moyo kama mama huyu.

Ответить
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 - 19.10.2021 09:11

Mama Meja General kweli wewe una hekima ya ajabu. Unavyojieleza ni Mwl tosha wa hekima kubwa. Yafaa uwe unaitwa ktk hazina za hekima ya taifa .

Ответить
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 - 19.10.2021 09:14

Jicho la.pekee likuone upewe nafasi ya kulea vijana.hasa wadada jeshini. Mama ni mama.

Ответить
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 - 19.10.2021 09:15

Ukiingia ndani ni mama sauti huishia getini. Hekima kubwa sana.

Ответить
@allykhamis3378
@allykhamis3378 - 19.10.2021 09:30

Waa mejajenerali my live

Ответить
@umfarid247
@umfarid247 - 19.10.2021 10:28

Nimependa historia yako mama napenda watu wanao chapa kazi asante mama

Ответить
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 - 19.10.2021 11:55

hongera sana mama yetu,Major,unawafundisha mabinti ukakamavu wenye mafanikio,dada zetu wengi sana kazi yao kuwaomba hela wanaume,kumbe wakati fulani Mungu unakuta kambadiliki mwanamke zaidi akijituma kuliko mwanaume ila hawajitambui.Wengi wakiona mwanaume wanaona pesa sio mpenzi au mume.

Ответить
@gosbertkachekolera5037
@gosbertkachekolera5037 - 19.10.2021 12:23

Nakumbuka,alifika karagwe mwaka 1975.shule ya msingi bugene ilichaguliwa kiwilaya kuupokea mwenge mwisa na tuliusindikiza hadi kanyamasongo ngara.big up mother

Ответить
@robinhomesuza9263
@robinhomesuza9263 - 19.10.2021 13:54

Wewe mtangazaji amkia kwanza

Ответить
@peterchristophernyansambo4959
@peterchristophernyansambo4959 - 19.10.2021 19:37

Jambo afande (itikia mkuu ili nifungue mguu)

Ответить
@ibrahimaboker9086
@ibrahimaboker9086 - 19.10.2021 20:58

Once A Soldier Always Soldier
Mama Umenitangulia mizi 6 tu mimi nilijiunga JWTZ Mgulani
January/1973, mimi ni MT7

Ответить
@simontamba1285
@simontamba1285 - 21.10.2021 05:52

Hakika Mnaweza

Ответить
@tajielpatrick9372
@tajielpatrick9372 - 21.10.2021 08:30

major na mama umeongea ukwel mnooo kila mtu atafute chake wazazi now days wanakuwa slaves wa watoto yaaan ww umtafutie kila kitu yy aenjoy as if amekuja dunia kuenjoy that's not right

Ответить
@allykhamis3378
@allykhamis3378 - 21.10.2021 09:40

Day meja wee achaa tu

Ответить
@kyellymissago9210
@kyellymissago9210 - 21.10.2021 13:31

Ĺ

Ответить
@saidishebuge4796
@saidishebuge4796 - 21.10.2021 14:41

Very Inspired

Ответить
@allyhassan7522
@allyhassan7522 - 21.10.2021 23:08

Alijielewa sana,hata sketi yake tu unaona ilikuwa ikivuka Magoti.

Ответить
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 - 22.10.2021 02:58

Mashallah

Ответить
@ابنعثمن
@ابنعثمن - 22.10.2021 19:31

Nimependa sana hii.
Inatia moyo kwa watoto wetu wa kike. Tuwasaidie,tuwainue,
hakika wanaweza kabisa.

Ответить
@kasaisatv9765
@kasaisatv9765 - 23.10.2021 03:48

Hii interview ina hadhi ya TBC, shirika la utangazaji la taifa. Kwa kutumia watangazaji wabobevu kila sekta, ombi langu, wekeni makala za uchambuzi wa tasnifu za wanataaluma wa vyuo vikuu pamoja na wahitimu wa shahada za uzamili na uzamivu. Mtufikishie sisi watanzania yale yaliyo katika vitabu. Muwaunganishe viongozi wa wizara husika ili watatue kero zilizofichuliwa na watafiti hao. Mwisho, mrudishe mrejesho kwa wananchi ili kuthibitisha kwamba lengo limetimia ama la.

TBC mmefanya kazi kubwa tangu uhuru wa nchi hii. Tusaidieni kwa leo. Kama mlivyoweka wataalamu wa tasnia husika kwenye kila kitengo, mfano, Masoud Masoud kwenye muziki kule TBC Taifa, hebu wekeni mtangazaji mtaalamu wa utafiti tulikomboe taifa.

Ответить
@Nicaonlinetv7324
@Nicaonlinetv7324 - 23.10.2021 17:51

We proud of you Sir

Ответить
@yatatusimu2498
@yatatusimu2498 - 23.10.2021 19:15

A good interview in terms of style and content. Hongereni wote wawili ...

Ответить
@vetsengore1035
@vetsengore1035 - 25.10.2021 17:36

Inspiring content

Ответить
@bishopesronrutayisire5210
@bishopesronrutayisire5210 - 27.10.2021 12:31

Mama Afande Meja Generali, nami ni mefurahia saaana wema wako, hekima na busala vyako. Wewe ni Mama wa dhamani kubwa. Dada Mtangazaji hongela na wewe pia umefanya kanzi njema kwa kwenda kumuona Shuja Meja Generali Madawili. Mungu awajazie kwa neema yake !

Ответить
@katerelomkuyati6764
@katerelomkuyati6764 - 28.10.2021 11:08

UKIKUTANA NA HUYU MAMA UNAWEZA CHUKULIA POAPOA TU
ILA WEEE

Ответить
@ahmadiomari6913
@ahmadiomari6913 - 29.10.2021 07:19

Nacheka sans sana sana sanaaaaa.


Kila kiongozi ana haki yake ya kuweka watu anao ona watakuwa nae

Wanawake pambaneni kweli kweli na hal zenu.
Laini ninavo ona mukishatoka mumekwisha tena.

Yaani vyeo mutavisikia tu.maana mpango wenu wengine wanaona siomzur

Ответить
@salongomuyoboke514
@salongomuyoboke514 - 01.11.2021 11:25

Kutoka Rwanda. Jameni niambieni maana ya kukimbiza mwenge.

Ответить
@avitimmochi227
@avitimmochi227 - 05.11.2021 00:41

Hi Madawili. Tulikuwa pamoja UD. Nakusalimu. Mmochi

Ответить
@bayongwabyabuzi7840
@bayongwabyabuzi7840 - 06.11.2021 17:24

Hayo yote ni porojo tupu....

Ответить
@mariamuanuari8241
@mariamuanuari8241 - 07.11.2021 21:45

Masha Allah

Ответить
@sufianjuma4155
@sufianjuma4155 - 11.11.2021 01:02

Ответить
@georgelupembe8672
@georgelupembe8672 - 14.11.2021 08:29

...ooh dada Zawadi....nakumbuka ukiwa Malangali Middle School mkicheza mpira wa miguu na dada zangu Elizabeth Lupembe na wengineo.....pia nakumbuka John Carson's (mmarekani) akiwa mmoja wa waalimu wenu....mama umekuwa mfano mwema kwetu sote na kioo kwa wana Malangali na wana Iringa kwa ujumla. Nakutakia maisha marefu

Ответить
@andrew29468
@andrew29468 - 14.11.2021 08:52

Mama anaonekana mnyenyekevu anastahili sifa

Ответить
@jumahamis227
@jumahamis227 - 15.11.2021 18:16

Dada mzuri mcheshi na anajua kuhoji sana hadi raha, hongera kwa mama madawili kuwafungulia wanawake wengine kwenye tasnia ya jeshi 👏.

Ответить
@janethmponzi8308
@janethmponzi8308 - 18.11.2021 16:41

Hongera sana bibi yangu

Ответить
@hadijachakori2352
@hadijachakori2352 - 19.11.2021 02:34

Hongela sana mama

Ответить
@allyfawziyaat3246
@allyfawziyaat3246 - 17.05.2022 04:37

My auntieeeeee😍😍😍😍❤️❤️❤️

Ответить
@allyfawziyaat3246
@allyfawziyaat3246 - 17.05.2022 04:38

Super proud to be your niece 🥰🥰🥰

Ответить
@anawa4326
@anawa4326 - 30.03.2023 13:16

Impressive Madame 👌✊🏼👏🏼

Ответить
@adeltuskarugaba138
@adeltuskarugaba138 - 20.04.2023 20:12

Mbona gari hapo mbele lina nyota moja ambalo ni gari la brigedia sijaelewa Au wamefanya parking tu

Ответить
@elisannko5892
@elisannko5892 - 10.07.2023 18:39

I'll be like you one day in Jesus Name

Ответить
@tegemeantenga102
@tegemeantenga102 - 20.03.2024 19:54

Kumbe ni mnyalukolo? Malangali kitaaluma ni nyumbani kwetu,, Malangali boys sec school,,,,au ndo maana mabinti jeshini wanaitwa madawili???

Ответить
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 - 22.06.2024 19:05

Hongera bibi umetuheshimisha ingekuwa mademu wa siku hizi

Ответить
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 - 14.07.2024 15:12

Nimepata tabasamu muda wote wa video mimi ni raia tu

Ответить
@chikujuma18
@chikujuma18 - 12.08.2024 16:24

❤❤mama huyu Yuko vizur nakupenda sana mama

Ответить
@merryjerry4404
@merryjerry4404 - 05.09.2024 21:53

Safi sana mama

Ответить
@hamadiselemani8665
@hamadiselemani8665 - 06.09.2024 17:47

Mama Wa Nguvu Kabisaa

Ответить
@WilliamMagezi
@WilliamMagezi - 04.11.2024 23:04

Hongera sana sana mama yetu ulitutoa kimasomaso wa tanzania

Ответить